Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NYIE WADAU MLIOCHANGIA KWENYE CHAGUO LA JK LA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUSEMA KUNA "KINGDOM" YA WATOTO WA VIGOGO MANAKOSEA KABISAAAA.
ReplyDeleteMIMI NIMEONA NITOE MAONI YANGU HUKU KWANI KULE COMMENTS ZIPO 97 HAKUNA MTU ATASOMA TENA!!!
UKWELI NI KWAMBA UCHUNGU WA MWANA AUJUE MZAZI!! WALE WATOTO WAMELELEWA NDANI YA UTAWALA HUU!! WAMESOMA HADI WAMEFIKA HAPO WALIPO! HIVI UNATEGEMEA WATACHEZEA HIYO NAFASI KAMA MKIWEKWA NINYI AMBAO HAMJUI HATA "NEEMA" ZA UTAWALA????? HIYO LA DR. HUSSEIN KUWA WAZIRI WA ULINZI SAFI SANA NA MTOTO WA RPC NCHIMBI KUWA NAIBU WAKE KWELI SASA NCHI IPO "SAFE" JAMAA WAMELINDWA SANA NA JESHI ENZI WAZAZI WAO WAKIWA MADARAKANI HIVYO WATAJALI SANA MASLAHI YAO HEKO MZEE JK... UKIWEZA IBUA VIJANA WENGI LAKINI WASIWE WATOTO WA MAFISADI!!!
WASIRA SAFI ANA PRESENT FAMILIA YA HAYATI BABA WATAIFA, KWANI WATOTO WAKE BADO WAHAJAWA SAFI KISIASA.
Kp wewe kweli kiboko, najua jinsi unavyo waandika na kuwachora hawa MAFISADI lazima siku moja watataka kukuzima kama kibatari. Ukihisi kuna kitu kinakunyemelea please kamwambie Mwakyembe, atawatangaza baada ya wao kukupoteza duniani.
ReplyDeletehahaahaha na ni kweli ndo msg zilizopo kwenye mobile yake, ila michuzi mbona hiyo picha ya hapo juu hujaweka nafasi ya watu kutoa maoni yao, usijifanye hunielewi! hiyo picha ya mke wa obama na huyo mtanganyika! weka tumtolee maoni hapa, anamshika bega yeye kama nani, huyo mama ndo alitakiwa amshike, mbona watu hawajui principle ndogondogo ukiwa na mtu wa aina fulani, au mazingira flani.. sio kama naona hatari huyu bwana kumshika bega huyu mama, hapana.. ni maoni yangu tu jamani!
ReplyDeleteNakubaliana kabisa na Adam (Anon wa kwanza)....Waambie ukweli mwanangu!!!!1..............
ReplyDeleteKP, je nawe unako ka-T-shirt ka kuzuiya Tindikali?si unamuona mwenzio Michuzi,tena nasikia keshaagiza na Gogozz kabisaaa!taaluma imekaa PABAYA hiyo mkulu,hivyo kazi na KINGA!!
ReplyDeleteMwanawane utakandamizwa wewe!!! unayatakaga mwenyewe!!! dRU
ReplyDeletekp acha hizo, hizo meseji umeziona wapi? naona sasa unajitafutia makuu mwenzako kubenea alikiona cha moto naona na wewe unakitafuta na utakipata, take care guy.
ReplyDeleteKp nakupongeza sana ,u jasiri na unasaidia sana kufichua maovu ya nchi ktk njia ya kipekee sana,keep it up friend ,usiogope watu kwani mola anakulinda anajua umuhimu wako ktk jamiii,u rock!
ReplyDelete