hawa ni ma-dj wakali wa a-taun. walinikosha kwa kupiga ule wimbo wa "maiko jekson njooo....sitaki.... kama hutaki nenda..." hakika walinikumbusha mbali kweli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh...unajifunza kipya kila siku!!!mie walahi sikujua maiko jeksoni anakisakata kiswahili!!!alijifunza wapi?

    ReplyDelete
  2. Mbona washamba hivyo!!

    ReplyDelete
  3. hakuna kitu watakula vumbi hadi makoo yaote ukulutu

    ReplyDelete
  4. Naukumbuka hata mimi ule unaosema michael Jackson njoo kama hutaki nenda. wakati ule wa kule Mbowe.
    Michuzi hio ndio ilikua miaka ambayo ndio naanza kwenda disco

    Haikuimbwa kiswahili waliimba kiingereza lakini waswahili ndio tulioitasfiri Michael Jackson njoo

    ReplyDelete
  5. Dah, unajua kabla sijaona hiyo picha hapo chini ya hii inayosema wadau wa A Town wakinunua nguo za Valentines Day, nilikuwa nadhani hawa ma-DJ ni wa A Town Marekani, nikashangaa mmmh, mbona siwajui?, maana DJ mbongo lazma uwe unamfahamu kwa kutuburudisha za kinyumbani nyumbani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...