Home
Unlabelled
ma-dj wa a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh...unajifunza kipya kila siku!!!mie walahi sikujua maiko jeksoni anakisakata kiswahili!!!alijifunza wapi?
ReplyDeleteMbona washamba hivyo!!
ReplyDeletehakuna kitu watakula vumbi hadi makoo yaote ukulutu
ReplyDeleteNaukumbuka hata mimi ule unaosema michael Jackson njoo kama hutaki nenda. wakati ule wa kule Mbowe.
ReplyDeleteMichuzi hio ndio ilikua miaka ambayo ndio naanza kwenda disco
Haikuimbwa kiswahili waliimba kiingereza lakini waswahili ndio tulioitasfiri Michael Jackson njoo
Dah, unajua kabla sijaona hiyo picha hapo chini ya hii inayosema wadau wa A Town wakinunua nguo za Valentines Day, nilikuwa nadhani hawa ma-DJ ni wa A Town Marekani, nikashangaa mmmh, mbona siwajui?, maana DJ mbongo lazma uwe unamfahamu kwa kutuburudisha za kinyumbani nyumbani
ReplyDelete