Home
Unlabelled
mdau wa butiama na libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh kumbe mdau wa butiama naye anaimba?sikuwahi kusikia kabla,tafadhali braza michu tuwekee na sauti basi ili na sisi japo tuisikie sauti yake tunaweza kumwandalia show au kumpromoti!
ReplyDeleteNa wewe ile zingo yenu mliyoenda kurekodi zenji vipi mbona kimya mdau?
Mdau dansi.
OFF TOPIC: NASIKIA KANUMBA KASHINDA OSCARS JANA USIKU???? MICHUZI VIPI NI KWELI
ReplyDeleteMichuzi, umenikumbusha mbali sana na ile picha ya Mzumbe Special School.
ReplyDeleteNoamba uniruhusu kuwakumbuka ndugu zandu hawa(1994-1997).
Sijaweza kuwakumbuka wote kwa majina kwa wakati huu lakini nawakumbuka wote katika hisia.
Unguu Ramadhani(HP 1998-1999)
Saidi Mkomola Nusura(VICE HP 1995-1996)
Imani Hamza Kondo(DISCIPLINE P)
Davis Binamu
Casmir Raphael Chahe
David Mwani(VICE HP 1996-1997)
Lutengano George Mwaliba
Charles Msangi
Baraka Mbigi
Mjabwa Ramadhani
Abdulrahim Saidi Omar
Hassan Esmail Njete
Emanuel Mhagama
Edward Ephraim
Aboubakar Seif
Alexander Rwegasira
Emil Ngaponda
Edgar Lusaya
Abrahamu Mutente
Oscar Boniphace
Amos Ndabila
Nicholaus John
Lipolito Venance
Alex Ernest
Naomba alumni wengine wanikumbushe majina ambayo kwa muda huu sikuweza kuwa nayo kichwani.
Hi Madaraka!Hapo Bro sijui ulikuwa unashusha kibao maarufu cha 'MALAIKA'?I can assume from the look of your face,cool and poa kabisa!Kumbe na wewe wamo?Turushie SINGLE moja basi mapema kabla ya Pasaka yuweze kuselebuka nayo kimyakimya.You know what,Music could be another very powerfull entry tool and entry point to reach out to the masses!Halafu ni passtime nzuri tu nyakati fulani fulani.Yes,Madaraka by that very act you have trully demo'ed that you too are an outstanding artist,whatever that song was!Wish you everlasting success in your music career and ofcourse dont forget the mighty PEN!
ReplyDeletejamani abdul salvadol namkumbuka alivyokuwa anapiga kwenye bar moja maeneo ya uwanja ndege dar,,jamani alikuwa anawapenzi wengi sijapata ona....hivi jamaa huyu yuko wapi?na mkewe?michuzi unaweza kunitafutia email zao?walikuwa rafiki zangu sana,mdau Norway
ReplyDeletewe anon wa pili hapo juu acha kuota mchana
ReplyDeletekanumba ashinde oscar kwa movie gani?
maana movie zetu bongo nyingi ni cpy km si nigeria basi ghana na hazina quality,sauti wala continuity
abdul salvador utampta kwa hisiasounds@yahoo.com au hisiasounds@hotmail.com
ReplyDeletedo.mimi kwa kweli hiyo orodha ya majina hapo juu imenirudisha mbali saana,nikiksoma jina la daudi mwani,nakumbuka mav group!!baadhi yao hivi sasa ni madaktari,wanasheria,wahsibu na kadha wa kadha;daa,sijamsahau baba paroko oscar bonniface..chunga kondoo wako baba,tunajua tangu mwanzo mungu alikuita umtumikie;unguu ramsa,upo baba
ReplyDelete