siku moja moja mdau wa butiama, anko mada (shoto), huwa anashika maiki na kuchapa libeneke, hasa hasa abdul salvador 'keydevu' na bendi yake ya hisia sounds anapotembelea nyumbani kwa baba wa taifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh kumbe mdau wa butiama naye anaimba?sikuwahi kusikia kabla,tafadhali braza michu tuwekee na sauti basi ili na sisi japo tuisikie sauti yake tunaweza kumwandalia show au kumpromoti!
    Na wewe ile zingo yenu mliyoenda kurekodi zenji vipi mbona kimya mdau?
    Mdau dansi.

    ReplyDelete
  2. OFF TOPIC: NASIKIA KANUMBA KASHINDA OSCARS JANA USIKU???? MICHUZI VIPI NI KWELI

    ReplyDelete
  3. Michuzi, umenikumbusha mbali sana na ile picha ya Mzumbe Special School.
    Noamba uniruhusu kuwakumbuka ndugu zandu hawa(1994-1997).
    Sijaweza kuwakumbuka wote kwa majina kwa wakati huu lakini nawakumbuka wote katika hisia.

    Unguu Ramadhani(HP 1998-1999)
    Saidi Mkomola Nusura(VICE HP 1995-1996)
    Imani Hamza Kondo(DISCIPLINE P)
    Davis Binamu
    Casmir Raphael Chahe
    David Mwani(VICE HP 1996-1997)
    Lutengano George Mwaliba
    Charles Msangi
    Baraka Mbigi
    Mjabwa Ramadhani
    Abdulrahim Saidi Omar
    Hassan Esmail Njete
    Emanuel Mhagama
    Edward Ephraim
    Aboubakar Seif
    Alexander Rwegasira
    Emil Ngaponda
    Edgar Lusaya
    Abrahamu Mutente
    Oscar Boniphace
    Amos Ndabila
    Nicholaus John
    Lipolito Venance
    Alex Ernest

    Naomba alumni wengine wanikumbushe majina ambayo kwa muda huu sikuweza kuwa nayo kichwani.

    ReplyDelete
  4. Hi Madaraka!Hapo Bro sijui ulikuwa unashusha kibao maarufu cha 'MALAIKA'?I can assume from the look of your face,cool and poa kabisa!Kumbe na wewe wamo?Turushie SINGLE moja basi mapema kabla ya Pasaka yuweze kuselebuka nayo kimyakimya.You know what,Music could be another very powerfull entry tool and entry point to reach out to the masses!Halafu ni passtime nzuri tu nyakati fulani fulani.Yes,Madaraka by that very act you have trully demo'ed that you too are an outstanding artist,whatever that song was!Wish you everlasting success in your music career and ofcourse dont forget the mighty PEN!

    ReplyDelete
  5. jamani abdul salvadol namkumbuka alivyokuwa anapiga kwenye bar moja maeneo ya uwanja ndege dar,,jamani alikuwa anawapenzi wengi sijapata ona....hivi jamaa huyu yuko wapi?na mkewe?michuzi unaweza kunitafutia email zao?walikuwa rafiki zangu sana,mdau Norway

    ReplyDelete
  6. we anon wa pili hapo juu acha kuota mchana
    kanumba ashinde oscar kwa movie gani?
    maana movie zetu bongo nyingi ni cpy km si nigeria basi ghana na hazina quality,sauti wala continuity

    ReplyDelete
  7. abdul salvador utampta kwa hisiasounds@yahoo.com au hisiasounds@hotmail.com

    ReplyDelete
  8. do.mimi kwa kweli hiyo orodha ya majina hapo juu imenirudisha mbali saana,nikiksoma jina la daudi mwani,nakumbuka mav group!!baadhi yao hivi sasa ni madaktari,wanasheria,wahsibu na kadha wa kadha;daa,sijamsahau baba paroko oscar bonniface..chunga kondoo wako baba,tunajua tangu mwanzo mungu alikuita umtumikie;unguu ramsa,upo baba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...