NIMEFURAHI KUIONA PICHA HIYO YA PEDEJEE. NIMEONA WATU WAMETOA MAONI MBALIMBALI KUHUSU HIYO PICHA. NINAPENDA UWAJULISHE WASHABIKI WA BLOG YAKO KUWA HUYO JAMAA NI MFANYAKAZI WA TANESCO TEMEKE, ANAITWA GEORGE JOHN BUNYORO.
ANA AKILI TIMAMU NA NI FUNDI UMEME MZURI SANA. ALISHAWAHI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAJAPAN ALIOKUWA ANAFANYA NAO KAZI ZA MIRADI KUTOKANA NA UCHAPAJI WAKE KAZI VIZURI.
ANAPATIKANA TANESCO TEMEKE, PALE KURASINI AU MITAA YA KINONDONI KWA MANYANYA NDIPO ANAPOISHI. NI MIMI SHABIKI WA BLOG YAKO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. hii ni ile ya kunyea humo humo

    ReplyDelete
  2. Hili gauni alilovaa na kiatu cha 'pilipili kichaa' pamoja na hilo li-mkanda la TANESCO vyote vinapatika kwenye duka la Da-Shamim Zeze, bei maelewano

    ReplyDelete
  3. Mmmh!!! suruali kifuani shati la nn? ehehehe!!1 sasa huyu jamani..wajameni mweeh!! kwani ni MC?? na hiyo saspenda bora singevaa.
    Hivo viatu ahahahaha


    M.W.T.M

    ReplyDelete
  4. uchizi sio lazima kuokota makopo! heheh

    ReplyDelete
  5. wATU WANGINE WANATAKIWA WAKAPIMWE AKILI TU

    ReplyDelete
  6. Michu,huyo mshkaji siyo Kobero Kiguzo
    Mluguru wa Kinondoni Mkwajuni mtaa wa Mafere huyoooo??
    Hebu muulize kwanza!!!!

    ReplyDelete
  7. Nimecheka ile mbaya na nimemwonyesha GF wangu wa kizungu amesifia kuwa ni new style na amerecomend kwa wala vumbi wote wanunue hicho kivazi maana kitawapendeza

    ReplyDelete
  8. huyo lazima atakuwa kadata

    ReplyDelete
  9. Duh...huyo jama wa sarakasi au nini...na haja ndogo vipi!na viatu hivyo kweli ligo manaake yakikugonga mazimbwi hata viagra hazitakufaa...be careful yakhe!!!una leseni ya kutembea kiholela mjomba???

    ReplyDelete
  10. Nani kakuuliza kama vinapatikana huko? Toka hapa na matangazo yako.

    ReplyDelete
  11. What a clown.

    ReplyDelete
  12. HUYU AKITAKA KUTOA WALLET ANATOLEA MABEGANI ANAZUNGUSHA MKONO JUU YA BEGA HAHAHHA SI MCHEZO.

    ReplyDelete
  13. Michu,Yaaani nimecheka sina hamu.Huyo jamaa anachekesha sana na vazi lake hilo,ila kuna huyo Mtoa Maoni iliye sema eti:hiyo ni ya kunyea humo humo.... yaani wabongo sina hamu nao kabisaa!!

    ReplyDelete
  14. hapo alipo kashajinyea huyo ndo maana anaenda haraka.

    ReplyDelete
  15. Kaka michuzi hiyo inaitwa "man hand" haitaji polisi huyu kashajimanhand mwnyewe

    ReplyDelete
  16. Mbeba mabox nini huyu?????

    ReplyDelete
  17. Wewe anony unayejaradia mambo kibao ya huyo gf wako sasa umefanya mimi nimuvuzishe mwelekeo wangu kutoka katika hicho kiatu cha 'Kiboko ya Mwajuma' kuja kwako.

    HIVI UNAFIKIRI KUWA HIYO NGOZI YA UZERUZERU YENYE UPUNGUFU WA MELANIN YA HUYO gf INA THAMANI KUBWA SANA KULIKO YAKO? HEBU TUONDOLE HAPA UCHAFUZI WA HALI YA HEWA WENYE HIYO INFERIORITY COMPLEX ULIYONAYO! HUNA AIBU!.

    MFTYHUH(wakati umebinya kinywa)!

    ETI gf mzungu! NANI KAKUULIZA? REKEBISHA HIYO SASA HIVI VINGINEVYO NINA WASIWASI UKO TAYARI KUFANYIWA VYOVYOTE HATA KINYUME NA MAUMBILE ILIMRADI NI mzungu MFTYHUH!! (wakati umebinya kinywa)

    ReplyDelete
  18. jamani mimeshangaa kumuona hapa huyo ni mume wangu na tuna watoto nae hivyo viatu an brouwn yake na nyeupe nimemkanya kuvaa hivyo nimechoka akitaka kutoa haja ndogo hadi achojoe nguo zote yaani na ana misifa usipime muone panki kama kibanda cha chips!!!! bora mumseme aache!!!!! lol

    ReplyDelete
  19. huyo mzushi anatakiwa akawe evalueted kwenye hospitali ya wangonjwa wa akili.

    ReplyDelete
  20. Kaka hivi ndio viatu alivyokuwa anavaa ALADIN kwenye vile vitabu vyetu vileeee!
    Unavikumbuka?

    ReplyDelete
  21. Girlfriend wa kizungu ,mtunze vizuri, ni sawa tu girlfriend asiye wa kizungu. Mtaoana siku ikifika? kila la kheri mzee. Waheshimiwa msiwe maracist. Racism is both ways.

    ReplyDelete
  22. hii picha inatakiwa ifikishwe Hollywood kwa maproducer, huyujamaa ni msanii sio chizi. Kama angekuwa marekani tayari ni celebrity na milionea. Marekani kuna ushenzi wa kila aina na kila unachodhani ni ujinga kinampa mtu kula ya nguvu. Kila kitu ni Arts, hivyo kinachofanya huyu jamaa aonekane chizi machoni mwa jamii ni fikra finyu na upeo finyu wa kufikiri na kasumba ndani ya utamaduni. Tuwaze mbele na mbali na kuacha hizo tabia mara moja.

    ReplyDelete
  23. Anonyme wa Feb 14,2008 2:45PM
    Hebu chukua 5 za nguvu.Mie niko pamoja nawe huyo Bwana siyo chizi ila ni msanii mwenye ubunifu unaoendana na wakati.Wale wote wanaomwona huyo bwana kama hamnazo kwanza wajiulize ni sababu zipi zinazowafanya watu wavae nguo? siyo wanakurupuka na kuanza kumpaka matope kijana wa watu tena msanii.Kwa ueleo wangu mdogo kuna sababu kama nne 4 hivi za watu kuvaa nguo.
    1-ni kujikinga na hali ya hewa kama vile Baridi
    2-kusetiri maungo(aibu ya kuonekna viungo vya uzazi)kuficha uchi
    3-Identity-Kujitambulisha wewe ni nani katika jamii uliyomo(hapa zinaingia uniform)kama jeshi,shule, hosptali,viongozi wa dini n.k.
    4-Atraction-Mvuto au kupendeza.Hapa ndo tunaindia wengi wetu.Sasa huyu jamaa naye anaangukia katika kundi hili la 4 kuonyesha Mvuto wa kupendeza kutokana na mavazi(costume) yake.HUYU BWANA amependeza na ana-atract attention ya watu kwa hiyo kutokana na kipengele hiki cha nne huyu jamaa amefanikiwa kwa 100% kuonyesha mvuto.Na wengi wetu ndani ya hii GLOBU mmevutiwa na hilo vazi kwanini msimpe sifa zake?

    ReplyDelete
  24. MAKOFI NA VIGELEGELE KWA ANNONY February 14, 4:51:00 PM

    ReplyDelete
  25. Huyu ndiye mpiga filimbi wa Hamelin aliyeitwa kufukuza panya watoto wakamfata ndo ikawa mwisho wa wwo maana aliingia nao kaika mlima...ha ha ha hizo hadithi za zamani kama mnakumbuka enzi za zamani.

    ReplyDelete
  26. THE BIGGER THE RESHO THE SMOLA THE SKEL

    ReplyDelete
  27. Aisee huyu jamaa akiitwa kwenye grammy awards au any show marekani atakuwa celebrity right away. Anuani yake nani anayo nimtumie barua aje kwa mwaliko wangu. nataka huyu mchizi aingie Braodway hapo New York na ntamtafutia agent wa kumnadi, Michuzi nkuachia kazi tafuta contacts za huyu jamaa. Ana usanii, this is innovation!

    ReplyDelete
  28. Walaahi Michuzi umepinda BIG TIME...Cha kuwavunja watu mbavu kitu gani??
    Nimecheka sanaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  29. nimecheka sana sana kaka michu,imebidi niwatumie rafiki zangu maana huyu jamaa kaniacha,sasa hii ni new style au tusemeje?

    ReplyDelete
  30. WAJAMENI HUYU JAMAA NI MFANYAKAZI MWENZETU WA TANESCO TEMEKE, ANAITWA GEORGE JOHN BUNYORO. ANA AKILI TIMAMU NA NI FUNDI UMEME MZURI SANA.

    ALIWAHI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAJAPAN ALIOKUWA ANAFANYA NAO KAZI ZA MIRADI KUTOKANA NA UCHAPAJI WAKE KAZI VIZURI.

    MKITAKA KUMUONA KARIBUNI TANESCO TEMEKE, HUKU KURASINI AU MITAA YA KINONDONI KWA MANYANYA NDIPO ANAPOISHI.

    ReplyDelete
  31. Aoyaaa wabongo acheni kasumba, Angekuwa kavaa Pdidy au Michael Jackson mgesema ebana ee chek style mpya hiyo, lkn kavaa Mbongo mnamuita chizi, kadata.

    ReplyDelete
  32. Dah!!huyu mbongo kweli? huyu lazima atakuwa anaasili ya kizaire japo kidogo, kama sio kwa bibi basi kwa babu au babu wa babu hahahahahah.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...