Home
Unlabelled
mh. na profesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani wamependeza sana sana,
ReplyDeleteHuyu mama sijui anakula nini kila siku chei chei
Michuzi umenikosha sana, keep it up bro
Mkuu yuko na my sweetheart wake..Safi!
ReplyDeleteHongera Mheshimiwa, kwa kuwa Waziri wa sheria! Nampongeza na Mai waifu wako kwa kazi nzuri, tunawaombea heri na fanaka na kazi njema!
ReplyDeleteNg'ombe wa maskini hazai jaman na akizaa huzaa dume familia bora hizo mama prof baba waziri.very intresting . siku hizi elimu kwa elimu tu sijui sie manungayembe tusiosoma tutaenda wapi??
ReplyDeleteMbona kila mmoja ana jina tofauti la mwisho si MR&MRS? au?
ReplyDeleteMdau anony wa 5:08 siku hizi baadhi ya watu na mai husband wao hawaitani tena Mr and Mrs. Na pia hata majina hayabadiliki kabisa hata kuweka kale ka dash ukajazia na ukoo wa kuanzima hawafanyi tena. Ila nadhani hii haijaanza leo wala jana inakaribia miaka thelathini sasa.
ReplyDeleteIla ni baadhi ndio wenye mtazamo huu hasa wasanii, waandishi, wataaluma au watu wengine ambao hawaoni maana ya kubadilisha identity zao. Kama nilivyosema ni baadhi tu