waziri wa sheria na katiba mh. mathias chikawe akiwa na mai waifu wake profesa amandina lihamba baada ya kuukwaa uwaziri kamili toka unaibu wa wizara hiyo hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani wamependeza sana sana,
    Huyu mama sijui anakula nini kila siku chei chei

    Michuzi umenikosha sana, keep it up bro

    ReplyDelete
  2. Mkuu yuko na my sweetheart wake..Safi!

    ReplyDelete
  3. Hongera Mheshimiwa, kwa kuwa Waziri wa sheria! Nampongeza na Mai waifu wako kwa kazi nzuri, tunawaombea heri na fanaka na kazi njema!

    ReplyDelete
  4. Ng'ombe wa maskini hazai jaman na akizaa huzaa dume familia bora hizo mama prof baba waziri.very intresting . siku hizi elimu kwa elimu tu sijui sie manungayembe tusiosoma tutaenda wapi??

    ReplyDelete
  5. Mbona kila mmoja ana jina tofauti la mwisho si MR&MRS? au?

    ReplyDelete
  6. Mdau anony wa 5:08 siku hizi baadhi ya watu na mai husband wao hawaitani tena Mr and Mrs. Na pia hata majina hayabadiliki kabisa hata kuweka kale ka dash ukajazia na ukoo wa kuanzima hawafanyi tena. Ila nadhani hii haijaanza leo wala jana inakaribia miaka thelathini sasa.
    Ila ni baadhi ndio wenye mtazamo huu hasa wasanii, waandishi, wataaluma au watu wengine ambao hawaoni maana ya kubadilisha identity zao. Kama nilivyosema ni baadhi tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...