Mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji, akisakata ngoma ya asili ya Kinyaturu, katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani mwishoni mwa wiki mjini humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wacha wanyaturu mambo yamekucha, kaka michu.

    ReplyDelete
  2. kaka michu unakijua kinyaturu lakini from singida.

    ReplyDelete
  3. Dewji getting his freak on! LOL!

    ReplyDelete
  4. MUPE MUGONGOOOOO!!! DUH MO ANGALIA BWANA.....HALAHALA!!SIYE YETU MACHO NA MASIKIO

    ReplyDelete
  5. kaka michu naona dewji anasakata ngoma ya kinyaturu.

    ReplyDelete
  6. michu jaribu na wewe one day, ukatembee uko.

    ReplyDelete
  7. jamaa mwenye kikoti cha jeans naona anataka amuibie Mo wallet!

    ReplyDelete
  8. Mr. Michuzi, this is your greatest picture

    ReplyDelete
  9. Where is Nyarandu he should be there too, aselebuke, au Faraja amemuweka kwenye short leash. "Ukiselubuka you are going in the Dog house lazaro", said Faraja.

    ReplyDelete
  10. where is nyalandu...utamkuta dar tu sijui nayeye mfanya biashara....huko vijijini jina tu anakusikiaga ikianza ile zamu

    ReplyDelete
  11. Naomba nimshauri mbunge huyu akajifunze kiswahili, nashangaa ni mtanzania gani asiyejua kiswahili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...