HAYA TENA WADAU, ULE MUDA TULIOKUWA TUNAUSUBIRIA UMEWADIA. WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA MOSHI WA KIJANI UTAFUKA HUKO DODOMA. NA TUKAE MKAO WA KULA...
Home
Unlabelled
MOSHI WA KIJANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunasubiri kwa hamu kusikia ya huko Dodoma
ReplyDeleteEhee kaka michu tuambie basi nani kapenya na nani kapejwa? mi nimeshasubiri mpaka naskia tumbo joto.
ReplyDeleteWallahi sikutegemea kama iko siku nami nitakuwa juu juu kwa mambo ya siasa lakini si unajua tena, mafisadi hao wametufanya tufatilie bwahahahahaa
Leta mambo anko michuzi,tunakufahamu wewe ni mwana-CCM namba moja.Unajua michuzi nimekufahamu zamani enzi hizo tukiwa na magazeti za Uhuru,Mzalendo na Daily news(Mfanyakazi iko wapi???).Nilikuwa mdogo enzi hizo.
ReplyDeleteMvumilivu hula mbivu. Baraza lingine likitangazwa nami nitakuwepo.
ReplyDeletetunakutegemea kwa majina ya wizara na mawaziri tupo mtandaoni
ReplyDeleteRobert Mujuni
Umeniacha anganimoshi wa kijani ndio nini wanakivillages nisaidieni!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMichuzi-- Nachelewa ngoja nikapige BOX. Baraza likitoka nibeep ASAP.
ReplyDeleteNi wako Bi-kidude
michuzi hata jina moja moja basi mwe!leo kazi hasifanyiki huku ughaibuni
ReplyDeleteHapana Mr michuzi ni moshi mwekundu ndio unategemea kufuka lakini nafahamu hakutakuwa na kipya kwani rais JK hana la kufanya na hatuwezi kumlaumu kwani viongozi wa CCM ni walewale na hana chagua kubwa la kuchagua zaidi ya wabunge wake walewale ambao wengi ni mafisadi na wala rushwa na vihiyo na wengi wao wasio heshimu hata hilo bunge lao kwa kulala usingizi wakati bunge linaendelea,sasa wananchi wamewachagua kulala au kuwatetea??????? Bado tunakazi kubwa
ReplyDeleteBado kazi tunayo, hasa afya barabara na makazi
ReplyDeleteHAKUNA LA MAANA SANA ALILOLIFANAY HUYU MHESHIMIWA RAIS.
ReplyDeleteKWANI ANAMUOGOPA MAGUFULI MBONA ANAZIDI KUMSUKUMIZA KUSIKO FAA WAKATI HAKUNA MTANZANIA ASIEJUA UFANISI WAKE KATIKA UJENZI? SASA MIFUGO ANAFATA NINI?
MAMBO BADO.
HAKUNA JIPYA!
ReplyDeleteMAGUFULI AMEMPELEKA WAPI?
ANAOGOPA KIVULI?