kwa habari zaidi na ofa ya mwezi mmoja bure nenda http://easyplus.morange.com/html.aspx?id=download_mobile_sms.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hawa jamaa wanapatikana wapi bongo nimekuwa interested kununua vitu vyao naomba wadau mtuelekeze

    ReplyDelete
  2. Dead Link?

    ReplyDelete
  3. samahani wadau nje ya mada,
    we michuzi ndio nn kutuwekea tarehe moja hapo juu kulia while leo ni tar 29 amaaah
    michael jackson atakusue cos kila siku anakosa kusherehekea tar yake ya kuzaliwa cos mwezi wa pili mara nyingi unakuwa na tar 28 mwaka huu umekuwa na cku 29 ww unamrukisha tar

    ReplyDelete
  4. Asante sana kwanza kwa kuweza kutujulisha kaka michuzi pia nilikuwa nauliza kwamba hii ni bure au unalipa maana isije ikawa unajua ni bure kumbe unatozwa hela kwenye simu yako maana unaweza kuona hela zinakatika bila sababu sasa lazima tujulishe au kama kuna mda anafahamu zaidi kuhusu hii jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...