mwalimu akipiga stori miaka ya 1980 na vingunge wa wakati huo wa watani wetu wa jadi. kutoka kulia ni baba yetu moi, mwai kibaki, robert ouko na nanihii..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Baba yetu Moi, Mwai Kibaki, Robert Ouko (Marehemu) na "Nicholas Biwott" (sijui kama kweli)
    Kuna rafiki yangu mmoja alisema kuwa: Mjaluo hata kaa awe Rais Kenya kwa vile hawajafuata ushauri kama walivyoshauriwa wanaume wa Rwanda (sijui kama ni kweli?).
    Tom Mboya walimmaliza kiaina,
    Geramong Oginga Odinga naye hivyo tena
    Robert Ouko naye aliuawa kwenye mazingira ya kutatanisha
    na Huyu Raila G. O. Odinga anataka kuwa Rais, sijui kama itawezekana, labda iwe ni kazi rahisi.

    ReplyDelete
  2. Enzi hizo ndio walitamba hao kikuyu,kalenjini na Jaluo...kwani hamkumbuki mpaka Walitunyang'anya Boing 727 zetu...dhuluma ambayo mpaka leo tunalia kwani hatujaweza hata ku 'afford' helikopta isipokuwa zile bovu zilizochakaa...Mpaka tukawapachika jina la NYANG'AU...mie naamini laana zetu tulizowatumia enzi zile zimewapa sasa kwani wanachinjiana wenyewe kwa wenyewe na mapanga yao...Alhamdu Mwenyezi Mungu aibariki TZ na Afrika...Ameen!!!

    ReplyDelete
  3. THESE WERE THE DAYS WHEN PEOPLE LIVED IN HARMONY.NANINA KUBALIANA NA MR UPENDO HAPO JUU,MJALUO HATA KAA KUWA RAISI KENYA ZAIDI ATAFANYWA SACRIFICE KAMA WENGINE WALOPITA,WAKENYA AU TUSEME WAKIKUYU WAKO MORE HAPPY TO SEE A LUO HOLDING OTHER MINISTERIAL POSITIONS BUT BE A PRESIDENT THEY CANT STAND IT.KIKUYUS PLAYED A BIG PART IN OBTAINING INDEPENDENCE,IT'S SO HARD FOR THEM TO SEE OTHER TRIBES LEADING THE COUNTRY,ARAP MOI ASHUKURU ALIPATA HIYO OPPORTUNITY LAKINI UKIANGALIA WAKATI WA UTAWALA WAKE ALIZUNGUKWA NA WAKIKUYU JUST TO BE ON THE SAFE SIDE.
    IT'S NICE THOUGH TO SEE PICTURES LIKE THESE WHEN PEOPLE LIVED IN PEACE.

    ReplyDelete
  4. Kwa mpango huu nakubaliana na yule dokta/sayantist wa marekani aliyesema kuwa watu weusi wana akili pungufu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...