siku moja moja kuota mchana kunaruhuisiwa kwani saa ingine ndoto hugeuka na kuwa kweli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wamechanganyikiwa hawa! Si ndoto wala nini! Wasaidiwe tafadhali! Mc Muga hawa

    ReplyDelete
  2. Du swala la genda sensitivity bongo bado sana.... yaani hadi leo bado tunaita mwenyekiti chairman??? halafu mbaya zaidi aliyekaa nyuma ya neno chairman ni mwana dada!!! oops!! Semeni chairperson!!chairman ni enzi zilee za Adam na Eva
    By genda activist!!!!

    ReplyDelete
  3. picha kama hizi kaka michuzi ndio zinanifanya nicheke kila ninapoangalia blog hii. grace hoka amepatia kweli kuiwakilisha rwanda!

    ReplyDelete
  4. Yaani Majuto Omary ndo atakuwa balozi wetu sijui wa wapi au?????

    ReplyDelete
  5. ndoto zao zaweza siku kuwa kweli,ila vigezo wanavyo.huyo wa rwanda kapatia sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...