Home
Unlabelled
njia tatu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hii shida mpaka lini serekali itaamka lini ili ijenge barabara nyingine,karaha gani hii jamani!
ReplyDeleteAisee bwana Michuzzi mimi naona aliyetoa hilo wazo la njia tatu alikurupuka. it has not solved the problem rather it is bringing chaos.
ReplyDeleteNingeshauri utaratibu huo ufutwe..
Yeah right!.. Keep on calling it TAMBARARE..LOL
ReplyDeleteSulululisho la vitu kama hivyo ni dogo sana,
ReplyDeleteKwa mfano Mafuta House ingejengwa mitaa ta Tegeta,
PPF Towers ikawekwa mitaa ya Mbezi au Kibaha kabisa,
Na majengo mengine maarufu tu yahamie Mbagala, Bunju, Pugu na kwengineko hali hii wala hata isingetokea.
Tena wanaofanya kazi tegeta wakae hukio huko vile vile wa maeneo mengine nao wakae huoko huko wanakofanyia kazi.
Mbona Arusha hatujabanana ki hivyo??
Ofoso ziko kila mahali na watu wanapiga kazi arifu.
Ni kweli hizo njia tatu zao zinauwa watu wasio na hatia kila siku sijui faida yake ni nini
ReplyDeleteIs not solving this problem. NOT it has not solved usitafsiri kama unavyoongea
ReplyDeleteMaamuzi yalikuwa ni ya kisiasa zaidi, si nanihiii... ndio aliyeamua hizo njia tatu! Hata sheria ya njia tatu hakuna. Ukigongwa huko BIMA hawatambui. Hawa wanasiasa wetu wamejichokea tu. Kama wangekarabati kwa sana baadhi ya barabara chache kama vile ile ya kigogo kutokea ubungo maziwa,kibangu kutokea korogwe au kimara, Mbezi kutokea segerea vurugu hizo zingepungua kwa sana tu.
ReplyDeleteanony wa 12.02 pm hapo juu nakuunga mkono kabisa. wazo la njia tatu limeleta shida zaidi kuliko faida. hivi sasa trafiki wa ubungo wamezuia njia tatu na hivi sasa hakuna foleni ile tuliyoizoea ubungo asubuhi na jioni. naomba kuwapongeza matrafiki wa ubungo, na naomba wote dar-es-salaam tupigie kelele shida hii ya njia tatu ifutwe kabisa. Aliyetoa wazo hili na mpuuzi
ReplyDeleteBongo Tambarare?!?! Bora niendelee kulamba box. Aliyesema hapo juu kuhusu kila kitongoji kujengewa maghorofa yao ameongea ukweli. Huku kwa wabeba mabox, kuna watu hata downtown hawakujui kukoje sababu hamna sababu ya kwenda. Poleni sana; mnakoma na vumbi afu tena foleni!! Duh
ReplyDeleteNJIA TATU NI NINI? MDAU WA iringa.
ReplyDeleteHakuna kitu kibaya kama kuendesha kisiasa mambo yanayohitaji Sayansi. Ni upuuzi kutumia njia tatu wakati hakuna mabadiliko kwenye intersection. Ukiangalia network kwa ujumla wake, njia tatu hazina msaada hata kidogo. Damn politicians!!
ReplyDeleteYaani hizo njia tatu kidogo ziniuwe nilipokuwa likizo, mi sijui habari ya njia tatu vibao vyenyewe you can barely see them the next thing naona kuna gari inakuja mbele yangu, mi namshangaa nadhani mambo ya wrong way na huyo dereva mwingine ananishangaa like what the hell is wrong with you. Good thing kulikuwa na nafasi pembeni nikajivuta nikampishe. baadae naona mengine yanakuja nikawa very confused, kwenda kuuliza kulikoni ndiyo naambiwa mambo ya njia tatu. Kama hatuwezi tengeneza barabara inavyotakiwa tuache kubuni upuuzi, tutaendelea kuuana tu.
ReplyDeleteChalii wa A- Town umeongea Point kabisa,
ReplyDeleteNingekua nakujua ningekupa binti yangu mkubwa.
Mafuta House ingejengwa Bunju,
PPF House iwe Kibamba au Chalinze,
Wizara zote zihamie Kilwa au Dodoma kabisa
TRA iwe Kawe,
Lile jengo pemben ya Mafuta House pale Azikiwe lihamie Tegeta,
Kama tumeanza kwa Millenium Tower pale Kijitonyama, au Ubungo Plaza basi haitashindikana.
Kuhamia namaana waje wayabomoe na kuyahamisha, hiyo ni rahisi tu kwan dunian tunaambiwaga 'HAKUNA LISILOWEZEKANA'
Posta na kati kati ya mji baadae patabaki patupu au bila watu wengi kama palivyo UNUNIO kule tegeta au kunduchi.
Hiyo itasaidia kujengwa bangari za kisasa bila ya kubugudhi watu kule Kurasini kwa kuwabomolea nyumba zao.
Ni ahyo tu jama, wala msijenge chuki
HULKA YA KUPENDA KUJIKUSANYA MAHALA PAMOJA NDIO SHIDA YAKE....OFISI ZOTE LAZIMA UENDE MAHALA PAMOJA..KUNASIKU WATU WATAKUWA WANAENDA MJINI KUTOKEA KIMARA..".. SAA TISA YA USIKU ILI KUWAHI APPOINTIMENTI YA SAA MBILI ASUBUHI.." AND GESS WHAT WATU WANAONA POA TU.."..TAMBARARE.."..TUNA POTEZA MUDA SANA KUFANYA JAMBO DOGO MNO JAMANI.."..
ReplyDeleteAs long as public transport continues to be a mess, everyone should just get used to the problem and shut up.
ReplyDeleteAs public transport worsens and windows begin to function as doors and doors as windows, everyone want s to have that car, even before that house. As income raise, expect to see more cars on the streets. Build and widen the roads, and there will be more cars coming in I tell you.
Of cause no one of those who should see this sees it simply because they cant imagine life without their air-conditioned wheeled thing they push arround. Or without the addition 3, two to the kids "for school" and one to the wife.
And you think the problem is roads?
In one TV show, it was said there were 8,000 daladalas compared private cars in the order of 300,000. Can anyone do the maths in this country? Of caurse not, even your kids fail big time.
Just imagine, in the same TV show, one of those SUMATRA big shots said the problem was the POT HOLES!!! Of I felt something comming up my throat ... Imagine that answer comming from those you think have the ability to comprehend the problem and solve it.
The pot holes he was complaining about that time have been fixed today. Did the problem go away? Of course not. And this guy goes to work every morning, and picks some tax payer's money every month end.
People complain about 3-way, If you ask them what should be done you'll realize they don't have a clue; just as their fathers.
Hivi unapanuaje ile salander bridge mazee?
As long as public transport continues to be a mess, everyone should just get used to the problem and shut up, because it is never going to go away.
Of cause those already using their own wheeled things wont agree. Because they cant imagine life without them pushing the things around. Or without the extra 3 to be pushed arround, one for the wife and 2 for the kid.