
Kaka Michuzi mimi ni mdau wa blog hii ya jamii nipo A-taun. majuzi nilipokuwa Iringa niwakuta watoto wakisakata kabumbu ndani ya kiwanja kama hicho. naomba uiweke kwenye blogili wadau watoe maoni yao.
Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
The Faculty of Humanities and social science
Mr Maganga nice picture,walikuwa wapi barabarani?Background ya picha yako naona nyumba kama "kota" vile.Watoto wanakosa viwanja viwanja vya kuchezea Tanzania 'cause mafisadi wanavinunua,wanajenga mijumba ya kifahari.Michuzi wewe umesomea haya mambo ya photographing,maganga anasema watoto wanasakata kabumbu ndani ya kiwanja,lakini picha inawaonyesha watoto wamekusanyika mmoja wao ameshika mpira wa miguu(yai?)
ReplyDeleteJamani mie nataka kuchangia hao watoto wapate viatu vya kuchezea mpira,,lakini hela nitampa nani????au zitaishia kwenye matumbo ya watu??mdau Norweyi
ReplyDeleteNyota za baadaye yaani,Kibaden,Mahadhi,Sunday Manara,au mwenzangu Filbert Bayi ndio wako humo pichani!!!
ReplyDeleteIPO SIKU MTAFIKA.
ReplyDeleteMeshack ni wewe uliesoma forodhani primary school miaka ile ya late 70s to 80s ? Kama ni weye basi nijulishe hapa ili tuwasiliane.
ReplyDelete