Kaka Michuzi mimi ni mdau wa blog hii ya jamii nipo A-taun. majuzi nilipokuwa Iringa niwakuta watoto wakisakata kabumbu ndani ya kiwanja kama hicho. naomba uiweke kwenye blogili wadau watoe maoni yao.


Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
The Faculty of Humanities and social science

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mr Maganga nice picture,walikuwa wapi barabarani?Background ya picha yako naona nyumba kama "kota" vile.Watoto wanakosa viwanja viwanja vya kuchezea Tanzania 'cause mafisadi wanavinunua,wanajenga mijumba ya kifahari.Michuzi wewe umesomea haya mambo ya photographing,maganga anasema watoto wanasakata kabumbu ndani ya kiwanja,lakini picha inawaonyesha watoto wamekusanyika mmoja wao ameshika mpira wa miguu(yai?)

    ReplyDelete
  2. Jamani mie nataka kuchangia hao watoto wapate viatu vya kuchezea mpira,,lakini hela nitampa nani????au zitaishia kwenye matumbo ya watu??mdau Norweyi

    ReplyDelete
  3. Nyota za baadaye yaani,Kibaden,Mahadhi,Sunday Manara,au mwenzangu Filbert Bayi ndio wako humo pichani!!!

    ReplyDelete
  4. IPO SIKU MTAFIKA.

    ReplyDelete
  5. Meshack ni wewe uliesoma forodhani primary school miaka ile ya late 70s to 80s ? Kama ni weye basi nijulishe hapa ili tuwasiliane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...