nguli wa afro pop oliver mtukudzi wa zimbabwe akifanya vitu vyake juu siuku ya ijumaa katika hoteli ya moevenpik ambapo watu kibao walifurika. na chini ni jumamosi katika uwanja wa lidaz ambako alipata watu kiduuuchu. atakuwepo zenj kwenye sauti za busara linaloanza alhamisi


ja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nimelipenda sana hilo tege la huyo mtoto. Amenikumbusha mbali sana!! Contact zake please!!!!!!!!!!!!

    Easy K

    ReplyDelete
  2. Na hao watu kibao waliofurika wako wapi jamani???ninaowaona wachache si ndio hao mawaiters tu,yaani wahudumiaji... manaake Juma ambaye ni mwanakijiji mmatumbi mwenzangu ndio korokoroni hapo!!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi mbona unapenda sana kubania watu comments zao?????? Au tukisema tu ukweli unaamua kubana????? Kwa mfano hapo juu maelezo yako hayafanani na jinsi picha inavyodhiirisha.... Hao watu wengi walikuwa nyuma ya camera man au????? Naomba jibu Pliiiiz... Senkyu

    ReplyDelete
  4. Wazungu hawakuhudhuria maonyesho yake kutokana na vikwazo walivyoiwekea zimbabwe.Maonyesho yake yalihudhuriwa na waswahili tu pale Kempsnsiki.

    Siku ingine waandaaji waangalie nchi mwanamziki anatoka kabla ya kumwalika kama wanataka na wazungu wahudhurie.

    ReplyDelete
  5. WAZUNGU KITU GANI BWANA WE WAZUNGU KITU GANI? WAJE TUTAUDHURIA WENYEWE WAENDE ZAO KULE.

    ReplyDelete
  6. Kiswhili kigumu sana.... nyie msioelewa, hebu someni vizuri caption ya Michuzi kabla hamjaanza kuandika utumbo wenu... Movenpick watu walifurika... ila hapo alipata watu kiduuchu.........hapo ni Movenpick??? Mnakeraaa... kwani lazima muandike kila siku?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...