Home
Unlabelled
oliver mtukudzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimelipenda sana hilo tege la huyo mtoto. Amenikumbusha mbali sana!! Contact zake please!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteEasy K
Na hao watu kibao waliofurika wako wapi jamani???ninaowaona wachache si ndio hao mawaiters tu,yaani wahudumiaji... manaake Juma ambaye ni mwanakijiji mmatumbi mwenzangu ndio korokoroni hapo!!!
ReplyDeleteMichuzi mbona unapenda sana kubania watu comments zao?????? Au tukisema tu ukweli unaamua kubana????? Kwa mfano hapo juu maelezo yako hayafanani na jinsi picha inavyodhiirisha.... Hao watu wengi walikuwa nyuma ya camera man au????? Naomba jibu Pliiiiz... Senkyu
ReplyDeleteWazungu hawakuhudhuria maonyesho yake kutokana na vikwazo walivyoiwekea zimbabwe.Maonyesho yake yalihudhuriwa na waswahili tu pale Kempsnsiki.
ReplyDeleteSiku ingine waandaaji waangalie nchi mwanamziki anatoka kabla ya kumwalika kama wanataka na wazungu wahudhurie.
WAZUNGU KITU GANI BWANA WE WAZUNGU KITU GANI? WAJE TUTAUDHURIA WENYEWE WAENDE ZAO KULE.
ReplyDeleteKiswhili kigumu sana.... nyie msioelewa, hebu someni vizuri caption ya Michuzi kabla hamjaanza kuandika utumbo wenu... Movenpick watu walifurika... ila hapo alipata watu kiduuchu.........hapo ni Movenpick??? Mnakeraaa... kwani lazima muandike kila siku?
ReplyDelete