mdau robert mujuni kaikuta hii gari ikiwa imepaki kinondoni karibu na kona ya kwenya baa ya bamboo kwa john fedha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh...mambo ya 007 Jamesi bondi siku hizi hapo kwetu!!!

    ReplyDelete
  2. Madhara ya bia za PROMOSHENI...
    buy ONE and get TWO

    ReplyDelete
  3. duh hapo si karibu na makuna grocery hapo! ada esate loh dada anjelah walevi wako sasa hatari!

    ReplyDelete
  4. HII IMETULIA VIZURI SANA

    ReplyDelete
  5. Robert ameshakuwa paparazi naye? Hii nilifikiri ile benz kumbe vx, hapo mahala pake maana itatoka bila wasiwasi. Mdau Perry Barr

    ReplyDelete
  6. Hapo Makuna Grocery kuna bia tamu sana !
    Kachupa Mwakitwange

    ReplyDelete
  7. Mpunga umeliwa na Nyau

    ReplyDelete
  8. Hapo sio kona ya kwenda kwa john feza hapo MAKUNA GROCERY! John feza kwa nyuma yake ! michuzi we vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...