mdau wa arusha deo mushi anasema dereza wa gari hili lililotumbukia mto malala karibu na tengeru huko a-taun alinusurika baada ya pindingu chali hiyo wikiendi ilopita, ambapo chanzo cha ajali hiyo hakijajajulikana mara mora

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kaka hiyo lugha iliyotumiaka apo ni kiswahili au maana naona kama lugha flani flani

    ReplyDelete
  2. ni dereva na wewe mwenyewe anon feb 25 4:17 kiswahili hujui ni hapo na si apo,ebooooo

    ReplyDelete
  3. watu wengine bwana sijui watotot sana wanasoma humu. Badala ya kuangalia ujumbe uliotolewa kwenye picha mnakalia kukosoa kiswahili na minor errors za kaka yetu. Kwanza mngejua hii blog ni ya picha ...picha ndio ujumbe ..Yeye ni mpiga picha kwa hiyo uandishi wake wa habari ni kutumia picha maelezo anayoweka mngemshukuru na kumwambia asante kwa vile akitaka asingeweka neno lolote nyie muangalie tu

    Kueni acheni kukosoa kila kosa unaloona humu...kwani typo error si ulielewa ????

    ReplyDelete
  4. Dereza tena!!!!!!!! ah! najua MFUPA hauna ulimi. Au we ukichapa huwa unaangalia darini na si kwenye skrini???

    ReplyDelete
  5. jamani PINDINGU ndio nini? nifaamisheni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...