Home
Unlabelled
pindingu chali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka hiyo lugha iliyotumiaka apo ni kiswahili au maana naona kama lugha flani flani
ReplyDeleteni dereva na wewe mwenyewe anon feb 25 4:17 kiswahili hujui ni hapo na si apo,ebooooo
ReplyDeletewatu wengine bwana sijui watotot sana wanasoma humu. Badala ya kuangalia ujumbe uliotolewa kwenye picha mnakalia kukosoa kiswahili na minor errors za kaka yetu. Kwanza mngejua hii blog ni ya picha ...picha ndio ujumbe ..Yeye ni mpiga picha kwa hiyo uandishi wake wa habari ni kutumia picha maelezo anayoweka mngemshukuru na kumwambia asante kwa vile akitaka asingeweka neno lolote nyie muangalie tu
ReplyDeleteKueni acheni kukosoa kila kosa unaloona humu...kwani typo error si ulielewa ????
Dereza tena!!!!!!!! ah! najua MFUPA hauna ulimi. Au we ukichapa huwa unaangalia darini na si kwenye skrini???
ReplyDeletejamani PINDINGU ndio nini? nifaamisheni!
ReplyDelete