uwapo zenji halafu usitembelee rock cafe pale bwawani utakuwa umepitwa. hapa nipo na anko hussein na wadau wengine nikijipatia kilaji kwa raha zangu. mashabiki wa pazi basketball club nadhani mnaikumbuka hiyo sura iliyo chini ya kapelo ya anko hussein enzi zile kabla sheraton hawajapoka kiwanja chetu pale..
Home
Unlabelled
rock cafe yatikisa zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
LOWASSA, KARAMAGI, MSABAHA wapo wengi siyo lazima wapitiwe na RICHMOND, BUZWAGI hata hapo pia!!
ReplyDeletehussein wa banbury!!!!
ReplyDeleteANKO HUSSEIN TUJULISHE BASI HUYO DADA NDIO MY WIFE WAKO WA TATU,HII PICHA YA PILI UMEPIGA NAE SASA, BIBI WAKIZUNGU UTAMTOA ROHO NA MAMBO YAKO YAKI YAKHE.TUPE HABARI TUJUE NDIO SHEMEJI ILI TUSIMKARIBIE TUKIJA NASI HAPO ROCK.
ReplyDeleteLEO UNAONEKANA UMEKOGA NDEVU ZIMETIWA BLACK DYE USIJITUPE BWANA MAANA PICHA YA MWANZO ULIONEKANA MZEE SANA.
we mponda m,mwambie hussein zoezi ni muhimu
ReplyDeletekaka Hussein mzee Fakhi (doctor) yupo wapi? mbona unamtupa mzee mwenzio wa faccenda? ukiwa unaingia viwanja umchukue na doctor japo ajivinjari na kupunguza ukali wa maisha. Usimtupe rafikio wazamani
ReplyDeletemdau, Banbury
KWA maana hiyo wewe mdau mwenye maoni ya KWANZA kabisa hapo juu unataka kutueleza MICHUZI naye NI "LOWASSA" au?
ReplyDeleteAU ndiye wewe uliyekosa ile dola 500 ya mshindi wa milioni 3?
Kama hivyo tupitishe mabango humu ndani, MICHUZI JIUZULUUUU, JIUZULUUU FISADI, JIUZULUUU UNATUUA WEWE KAMA UKIMWIIII
tehe tehe tehe teheeeeeee