Kaka Michu,
Natumai upo fresh, sasa mbona JK anataka wenzake wafe na shinikizo?
Badala ya kutangaza Cabinet leo yeye anasema kesho aah!!!
Hata sisi wachezea pembeni inakuwa tabu kuendelea kusubiria!!
Usitoe jina langu wala e-mail.

mdau.
NASIKIA AMEAHIRISHA BAADA YA VYAMA VYA UPINZANI KUPINGA WANACHAMA WAO (WABUNGE) WALIOTEULIWA KUSHIKA NYADHIFA ZA UWAZIRI KWENYE SERIKALI YA CCM! (REDIO MBAO-DAR ES SALAAM).
ReplyDeleteAcha uoga asitoe jina kwanini? Demokrasia maana yake nini? Tunatakiwa tubadilike jamani, tutaendelea kufungia macho maovu mpaka lini? If you Scared of the heat dont be around the kitchen.
ReplyDeleteDJ SUKARI.
Kuna haja ya kuwa na shinikizo. Wote walio kwenye cabinet wanajua sasa hivi. Kama hajawasiliana na wewe haumo.
ReplyDeletePresuure ya nini kwani kupewa uwaziri ndio ikupande pressure au unaogopa kuwa jina lako halipo katika orodha na ulaji umekupitia pembeni mara hii tena?
ReplyDeletekwani jipya liko wapi they are just changing chairs overthere.
So don't be so anxious