"Kidumu Chama Cha Mapinduzi"
Ndugu Mwanachama. Unakaribishwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa Shina la CCM London, utakaofanyika siku ya Jumamosi 1/03/2008, katika ukumbi wa 534 Hornsey Road,
Ndugu Mwanachama. Unakaribishwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa Shina la CCM London, utakaofanyika siku ya Jumamosi 1/03/2008, katika ukumbi wa 534 Hornsey Road,
N19
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni.
Vinywaji laini vitakuwepo.
Wote Mnakaribishwa.
Wote Mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana na Ndugu Moses Katega
kwenye namba 07791584289.
CCM Hoyee--
CCM Hoyee--
Moses Katega
Katibu wa Siasa na Uenezi
CCM - Tawi La London
Uingereza
London siji ng'o !! Ushenzi huo sisi hatuna. God Bless America, and damn CCM!!
ReplyDeleteAsante kaka Michuzi kwa kutuwekea ujumbe wa CCM humu ndani. Lakini for future reference keep less political so you can retain all members.
ReplyDeleteMdau US
Asante kaka Michuzi kwa kutuwekea ujumbe wa CCM humu ndani. Lakini for future reference keep less political so you can retain all members.
ReplyDeleteMdau US
mdau wa us hapigi kura ndio maana
ReplyDeletehapa ukerewe tunapiga kura watu wa comonwelth
Jamani mjumbe hauwawi kama hili Tanganzo halikuhusu nyamaza sio lazima utoe comment......
ReplyDeleteHalafu kuweka tangazo haimanishi kama yeye anapenda CCM!!!!!!
Hata wewe ukiomba kuweka tangazo la chama chako litaweka..
Asante sana kaka Michuzi kwa taarifa.
ReplyDeleteKama kuna mtu haipendi CCM sisi tupo tunaoipenda,chama makini kwa watu makini.
Kidumu Chama Chama Mapinduzi.