"Kidumu Chama Cha Mapinduzi"
Ndugu Mwanachama. Unakaribishwa katika Sherehe ya Uzinduzi wa Shina la CCM London, utakaofanyika siku ya Jumamosi 1/03/2008, katika ukumbi wa 534 Hornsey Road,
N19
kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni.
Vinywaji laini vitakuwepo.
Wote Mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana na Ndugu Moses Katega
kwenye namba 07791584289.
CCM Hoyee--
Moses Katega
Katibu wa Siasa na Uenezi
CCM - Tawi La London
Uingereza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. London siji ng'o !! Ushenzi huo sisi hatuna. God Bless America, and damn CCM!!

    ReplyDelete
  2. Asante kaka Michuzi kwa kutuwekea ujumbe wa CCM humu ndani. Lakini for future reference keep less political so you can retain all members.
    Mdau US

    ReplyDelete
  3. Asante kaka Michuzi kwa kutuwekea ujumbe wa CCM humu ndani. Lakini for future reference keep less political so you can retain all members.
    Mdau US

    ReplyDelete
  4. mdau wa us hapigi kura ndio maana

    hapa ukerewe tunapiga kura watu wa comonwelth

    ReplyDelete
  5. Jamani mjumbe hauwawi kama hili Tanganzo halikuhusu nyamaza sio lazima utoe comment......
    Halafu kuweka tangazo haimanishi kama yeye anapenda CCM!!!!!!
    Hata wewe ukiomba kuweka tangazo la chama chako litaweka..

    ReplyDelete
  6. Asante sana kaka Michuzi kwa taarifa.
    Kama kuna mtu haipendi CCM sisi tupo tunaoipenda,chama makini kwa watu makini.
    Kidumu Chama Chama Mapinduzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...