niko na wadau ambao wameshakaa tayari kuonesha kazi za sanaa za jadi sza kiafrika wakati mwa mkutano wa sullivan mwezi juni. hapa tulikuwe ngurdoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo wakulia kweli he is ready to show off his art stuffs. Nyie wawili bado suti sio culture yetu namba mkumbuke hayo na hao wageni wakiwasili msizivae suti kabisa. Mtakuja kuona wao wamevaa kiafrica na nyie mkabakia na suti watawashangaa

    ReplyDelete
  2. Du Huyo wa kati ni Bro Michu au nimekosea kuangalia? Bro michu wewe ni Mfupi? Yaani hapo umeonekana short kweli yani. Itabidi sasa Mambo ya suti uachane nayo kabisaaa endelea tu na vitisheti kwani angalau vinakuonyesha Mkubwa.

    ReplyDelete
  3. bw michu naomba kuuliza huyo jamaa mrefu sio bwana gema?

    ReplyDelete
  4. Ja mdau umepatia huyo ni Gema.

    ReplyDelete
  5. Bro michu nakushukuru sana kwa kunijibu huyo bw gema.mie ni mdau wa enzi hizo 4ways corner mtaa wa manyoni akiwemo mzee Gema,mpe salaam nyingi sana kutoka ukelewe.

    ReplyDelete
  6. Michuzi ndio maana anapataga good shot. Huoni pich azake zilivyokwenda shulu. yeye anapenyeza tu chini kwa chini na wala hawamwoni. Ukiwa mrefu kupata picha nzuri sio rahisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...