Home
Unlabelled
sullivan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo wakulia kweli he is ready to show off his art stuffs. Nyie wawili bado suti sio culture yetu namba mkumbuke hayo na hao wageni wakiwasili msizivae suti kabisa. Mtakuja kuona wao wamevaa kiafrica na nyie mkabakia na suti watawashangaa
ReplyDeleteDu Huyo wa kati ni Bro Michu au nimekosea kuangalia? Bro michu wewe ni Mfupi? Yaani hapo umeonekana short kweli yani. Itabidi sasa Mambo ya suti uachane nayo kabisaaa endelea tu na vitisheti kwani angalau vinakuonyesha Mkubwa.
ReplyDeletebw michu naomba kuuliza huyo jamaa mrefu sio bwana gema?
ReplyDeleteJa mdau umepatia huyo ni Gema.
ReplyDeleteBro michu nakushukuru sana kwa kunijibu huyo bw gema.mie ni mdau wa enzi hizo 4ways corner mtaa wa manyoni akiwemo mzee Gema,mpe salaam nyingi sana kutoka ukelewe.
ReplyDeleteMichuzi ndio maana anapataga good shot. Huoni pich azake zilivyokwenda shulu. yeye anapenyeza tu chini kwa chini na wala hawamwoni. Ukiwa mrefu kupata picha nzuri sio rahisi.
ReplyDelete