Home
Unlabelled
tiketi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana kwa ubunifu huu wakutuma ujumbe.ningewashauli wadau wengine wanaosoma blog hii kama mnamiliki au wazazi wenu wana miliki daladala au chombo chochote cha usafiri watumie ubunifu huu kuweka ujumbe ambao utaelimisha jamii sana sana tulenge ukimwi.najua ujumbe utawafikia na tutaweza kuokoa maisha ya watu.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha....lol jamani mbavu na meno yangu.
ReplyDeleteBablii
hii ni tamu kuliko zote...bora kula mia tatu kwa halali kuliko millioni kibao kwa widhi. meseji imefika baba
ReplyDeleteyaonekana siku hizi kila mtu executive
ReplyDeleteHahahaha! Tanzanians knows how to have fun, hata katika mambo ya kusikitisha lazima furaha iwepo.
ReplyDeleteI love my country, Tanzania
Duh, daladala washachoka na maisha usawa huu!
ReplyDeleteMdau huo mstari wa mwanzo hauna shida tunaelewa ni dhumuni la kazi yake, ila mstari wa mwisho nahisi muandaaji wa hii sentensi kuna vitu vinamsumbua kichwani na moyoni mwake akatamani kutusikizisha nasi,simshangai sana kwani kuna usemi unasema limjazalo mtu ndilo limtokalo.
ReplyDeleteHii sentensi inanikumbusha ule wimbo wa mchiriku uliopigwa marufuku unaosema "NIBEBESHE NIBEBESHE NIBEBESHE UKIMWI NIHANGAIKE NAO". kabla ya kupigwa marufuku sikuupenda yale maneno yake nikawaza huyu anaeimba wimbo huu analalamika au anashangilia?.
Ah! kuna neno linasema uhuru wa mtu uheshimiwe ila hapa mimi hapana, kama walipiga marufuku ule wimbo ulikua unawasha masikio kwa kuhamasisha ukimwi, na hii sentensi inawasha machoni kwa kila anaeitazama, ningependa kama nazo zikatazwe naziharibiwe zote. zilizotengenezwa. Nakemea.
Ni upumbavu mtupu sasa bora HIV maana yake nini
ReplyDeletethat is fun but kuhusu hiv sio kitu cha kuwa fun of si unajua bidii tunazozifanya kuumaliza sio za kupuuza
ReplyDeleteekonjo je ni wewe tulisoma wote pale mbeya day?
ReplyDeleteKuna watu hapo juu hawana hata sense of humour. Eti wanakomaa kuwa kauli ya "Bora HIV kuliko Richmond" ipigwe vita.
ReplyDeleteGuys hiyo ni kauli ya kisanii ambayo lengo lake ni kufurahisha watu na wakati huo huo kuelezea ubaya wa ufisadi kama wa Richmond.
Haimanishi kuwa kweli aliyeandika anafagilia HIV.
Hey hiyo ni usanii mzuri sana...ujumbe umefika na wataelimishwa wengi ...kwa vile kama HIV imeua watu wengi na nitishio kwa jamii basi wasiojua richmond waelewe kuwa Richmond uizi wake ni sawa na mauti pia. Richmond inaua uchumi wa nchi...yote ni mauti..
ReplyDeleteMafisadi wanakula hela zinazotengwa kwa ajili ya magonjwa au maendeleo ya watu. Maji vijijini hayafiki kisa hela zimeliwa na mafisadi je watu wanaokufa na magonjwa yakutokana na maji yasio masafi si sawa na ukimwi tu...
Ukikosa lishe bora utakufa, majimasafi utakufa, malaria utakufa, ukimwi unaua...sasa stay or find a way to eliminate both...
mwee mimi naona wanaelimisha watu ....
Ujumbe umefika ila swali langu ni kwa ICT Engineer Executive wewe sio fisani...???? Kulikoni kwenye madaladala na title yote hiyo? Au ulikua unafanya research?
ReplyDeleteYaani ungekua huku mamtoni na title yako hiyo bwana wangu tungekusikia tu kama moshi kwenye chimney...
huyu anaelezea machungu yake kwa ufisadi unaoendelea hivyo kwake ni bora afe kuliko kuteseka na maisha ya kunyoywa ni kama kifo kile
ReplyDeleteni vizuri tuwe na utaratibu wa kusoma risiti zetu tunazopewa kwenye daladala zingine zina mafundisho kwa jamii,bbc walishauliza wateja fulani wa tabata juu ya maandishi yalio kwenye risiti zetu
ReplyDeleteANON WA 8:57AM UMENIFURAHISHA KWELI NA NYIMBO YAKO YA NIBEBESHE. HAO WENYE SENSE OF HUMOUR ACHANA NAO,I UNDERSTAND WHAT YOU ARE SAYING.
ReplyDeleteWewe Anon wa 11.13 unamuuliza kama mlisoma wote Mbeya,wakati haujajitambulisha. Je ina maana hilo darasa zima mlikuwa mnasoma wanafunzi wawwili tu?. Be seious ndugu.
ReplyDelete