Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. NINGEFURAHI KAMA UFISADI UNGEKUWA NA BARABARA YAKE TOFAUTI KABISA NA HII YENYE MALI ZETU;

    KUTENGA MALI ZETU NA UFISADI KWA JOKA TENA LILIOKAA HOLIZONTAL NA LABDA LILILOKWISHA KUFA BADO HAIZUII KITU.

    ANGALIZO:
    ITAANZISHWA HAPO NGOMA YA MAJOKA YA BOGOBOGO, MKALI MMOJA ANALIPITIA NA KULIWEKA BEGANI WAKATI MAFISADI WANAKATIZA KUELEKEA KWENYE MALI ZETU KWA MUONDOKO WA JOTI!

    ReplyDelete
  2. Nasikia hata lami pia wameiba!!!baada ya karibu nusu karne ya uhuru,barabara= matope,taa= mwanga wa jua,maji= vidimbwi,chakula= msaada wa benki ya dunia,utaalam=expartriate...ah aibu tuu
    Wakoloni na wahindi hebu rudini...ALL IS FORGIVEN that is WE ARE SORRY!!!!

    ReplyDelete
  3. Haya tena Jamani,wale watafsiri wetu wa Michoro mbona sioni maoni yenuuu!!'Ze-Beauty and ze-Beast!!'

    Mpo tayari kuvuka tuta hilo kuzitetea mali za Tanzania dhidi ya Mafisadiii??TLP-Keshamezwa,CUF-Yu-mashakani,Mwenzetu Chadema-Keshavuka!!ila pekeyake jamani ngoma haichezeki hiyooo!!

    ReplyDelete
  4. Haya tena Michu kashusha Usanii kwa kutumia upande wa pili wa Shilingi!! kwa wale Watafsiri wetu mashuhuri wa Katuni za KP:Joka hilo(Beast)limetanda katikati ya Barabara kisa eti Kutetea Mali za Watanzania(Beauty)zisimezwe na hao Mafisadi,na wakijaribu tu kuvuka basi tuwameze wazimawazima!!

    Je?,Jk,Slaa,Mwakyembe na sisi wananchi kwa ujumla tunaojaribu kuweka ukuta/tuta dhidi ya mafisadi tunakubali kuwa mfano wa Joka(Beast) hilo??

    ReplyDelete
  5. laitwa thatu hilo au jithatu!! huku kwetu mombasani!!!

    ReplyDelete
  6. Watanzania wasijali kwani hilo joka limeshawameza White hair, Kalamavi, Msambaa na mafisadi wote ambao hawakufanikiwa kurudi kwenye kabinet ya Jamaa Kamaindi(JK)

    ReplyDelete
  7. Kaka Michu huyo mdau hajatuelewesha hilo lijoka liko kwenye barabaya ielekeayo wapi? Bagwamoyo au Kisaramoni? Huyo ni kimbola wa RichMonduli huyo anavuka kwenda kufukia vitu vyake.

    ReplyDelete
  8. Kaka hiyo: Dar Mpaka Moro!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...