wadau john mnaamba na mwenzie majuzi walitembelea kwa watani wa jadi ambako wanasema mjini mambo sio moto sana. ila hapo chini kwenye bonde la ufa ndi balaa. bakola nje nje



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Samahani Bwana Michuzi, naomba kujua tofauti ya BAKOLA na BAKORA katika kuzungumza au kuandika kiswahili sanifu.

    ReplyDelete
  2. BAKORA ni kifimbo cheza BAKOLA Mmh???

    ReplyDelete
  3. looh jamani wabongo tumezidi yani kila tusikiacho tunakimbilia kwenda kuhakikisha kama kweli au si kweli,hala hala tu msije pigwa mapanga na nyie maana wanaweza wahisi ni wakenya pia.

    ReplyDelete
  4. kaka John angalia mambo ya ndemba hadi kenya??kuwa makini na eldoret au ushapata mafunzo ya karate kwa Ras benny..any way thanks for concern.we have to keep our heads up...igax for shizleeeee!!!

    ReplyDelete
  5. Duh we john mnamba hako ka t-shirt kako kana hirizi nini?

    hubadilishagi hata siku moja mzee, toka enzi za mlimani mwaka 2004 mpaka picha zako zote za zenj hako hako na umeenda nako mpaka nairobi..
    Noma kijana hhahahaha

    ReplyDelete
  6. We nimekukamata hako ka-t-shirt nimekanunua mwaka jana, hiyo usemayo ya mwaka 2004 labda umechanganya madawa mtu wangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...