Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuregenzi wa Utawala katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Immaculata Ngwalle, baada ya kuwasili kwenye Ofisi yake mjini Dodoma jana kwa mara ya kwanza toka baada ya kuteliwa kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofiai ya Wairi Mkuu, Vincent Mrisho na kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Andrew Nyumayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwanini hii picha haijapata comments toka ibandikwe?? ina tatizo gani??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...