Home
Unlabelled
zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, mbona bi. Kidude analalamika kuwa jamaa wa SAUTI ya BUSARA wametia ndani mshiko wake?? Embu tupashe wana sauti tusikie!!
ReplyDeleteAaaahhhh misupu unanikumbusha Zenji.Nimeondoka huko bwana kitambo.Safi sana na Zenji ipo juu kwani huku Bondeni watu wanaifagilia sana.Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Zenji.
ReplyDeleteNimependa sana hiyo picha,hakina umeipiga vema na madhari ni mazuri sana.
ReplyDeleteYaani mtu ambaye hajawi kufika zenj basi anaweza kufikiri zenj tambarare..kumbe...nenda ujionee asilimia 70 libeneke lake...
Kumbe hilo ndio bwawa la maini!
ReplyDeleteMichu hongera kwa kazi nzuri kuwahamasisha wadau watamani kwenda kujionea wenyewe Zenjy kunapendeza, vipi ulifika sehemu inaitwa kaburi kikombe?(mji mpya)ukipata wasaa wa kuzuru tena Zenjybari pita utupatie picha za mitaa hiyo panafananaje, tumechoka na mji mkuukuu(ngome kongwe)Au tuletee picha za kuleee sebuleni(amani) nyumba za wazee bado wanawaweka kwenye lile lisebule au wamewarekebishia kidogo
ReplyDeletemazingira .Nakumbuka maneno ya mzee RUKHSA alipenda sema "ZANZIBAR NI NJEMA ANAETAKA NA AJE"