kundi la yunasi toka kwa watani wetu wa jadi wakifunga pazia la sauti za busara mwaka huu ngome kongwe usiku kuamkia leo. jumla ya vikundi 40 toka hapa nyumbani, afrika magharibi na ulaya vilishiriki kwenye tamasha hili lililofana sana. waandaaji wameonesha uwezo mkubwa katika kuandaa matamasha kiasi ya kwamba limesifiwa kuwa sauti za busara ni tamasha bora kuliko yote kufanyika hapa zenji. na siri ya mafanikio ni moja tu; kujiandaa mapema. hivi tunavyoongea tayari mialiko imeanza kutumwa kila sehemu na fomu za ushiriki kutolewa tayari kwa tamasha la mwaka 2009. vile vie juhudi kubwa sana zimefanyika kulitangaza tamasha hili ndani na nje ya nchi kwa mwaka mzima na wafadhili wengi wamejitokeza kwa kuwa na imani ya nini kinachofanyika. chuo cha sanaa bagamoyo mpo hapo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...