ah! ngoja niendelee kujilia kuku wangu kwa mrija mie... kama baraza tayari nimeshatangaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Michuzi acha mizinguo,unasema kama balaza ushatangaza kwani wewe ndiyo JK?

    ReplyDelete
  2. Haaaaaaaahkaaaa! leo nimecheka sana!!!!mweee!!!!! mkuu baada ya kututangazia mawaziri wetu naona mzee unakula kuku kwa mrija hapo Lagema de list Zenj kama sikosei maana hivyo vigali haviko kila hotel.
    Mweeeee lakini wewe Bro nadhani ni miongoni mwa mafisadi tunaowasaka inakuwaje unajipongeza namna hiyo!!!!!!tena peke yako bila hata my waifu wako??
    Lakini acha yote mimi nakupa big up! sana kwa speed ya jana chap chap matokeo tuliyapata bila kuchelewa.
    naomba usiibanie hii kaka.

    ReplyDelete
  3. Big up! Kakangu Michu hakuna dunia mbili dunia ni hii baba tanua tuu upate cha kuja wasimulia wajukuu zako muda ukiisha ndo hivyo tena ila Adhana hapo ilikua ishatoka au bado mana naona upo kwa raha zako hapo kwenu hugombwi,utacharazwa bakora! shauri lako

    ReplyDelete
  4. Mambo ya BOT hayo kaka..mijihela ya EPA!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Kaka kaka michu unanipa wasi wasi unajua wewe mambo yako kama 007 James Bond uko simple ila una enjoy life alafu kizuri zaidi kila sehemu unaingia hadi ikulu, najua sio fisadi ila unakula hela za mafisadi bila wao kujua hahaha big up brother!Una kadamu ka Bibi Kalembwana nini ?

    ReplyDelete
  6. Kwani ufisadi una kabila,lugha ama dini au hata jinsia!!? Nimekushtukia Michu nawe ni FISADI wa STAREHE.. ona unavyotumbua miraha ya kitalii.. mweee uminiacha domo wazi, wacha nizuuze kinywa ....(dRU)

    ReplyDelete
  7. Nimekuona mjomba na ndaba yako, siyo mchezo bwana kiatu hicho ha h ah ha haaaa!!Hakina vumbi wal tope kweli Bongo tambarare kwa sana.

    ReplyDelete
  8. michuzi naona umetoka out na nguo za michezo,kwani wanacheza timu gani hapo?

    ReplyDelete
  9. hutu tu raba tutakuwa tunanuka maana naona ni mwendo wa no sox!
    usiibanie hii michuzi!

    ReplyDelete
  10. Wewe kaka Michu, sasa naona wewe kutanua kwako ni disiplini...au kwako ufisadi unaanza kuwa uzoefu mshikaji....naona pia hako ka-tisheti kako ka damuati kanaanza kuwa disiplini ya kigaga pia...

    ReplyDelete
  11. Hivi we michu una mkee, maana kwenye minuso yote unamuacha mama nyumbani... sasa itabidi tuchonge hapa...tuwekee picha ya shemeji hapa sio mambo ya MIKONOZZZ na kufisadi kipeke yako peke yako haifai namna hii...Bro

    ReplyDelete
  12. Jamani wadau megundua haka ka tshirt ka njano kanataka kum mwakyembe(richmond) kale kauka nikuvae ka michuzi? kanajitoa toa taratibu maana naanza kukiona ona

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...