Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. IMETULIA KIMTINDO...NGOJA TURUDI NA MAPOUND WATATIA AKILI

    ReplyDelete
  2. hivi ndo kweli kusema dola iko chini hivo dhidi ya pound..??
    sasa nyie mliokuwepo USA cha kukuringisheni ni nini hasa mbele ya wanauengereza na mapound yao..??
    au ndio mmependezwa na mandhari nzuri ya majumba marefu na gari nzuri nzuri za USA wakati life ufanye kazi mbili mbili ndo uweze kumake..???
    pound ipo juu wajameni...!!sasa dola inashuka tuu....!!
    aggghhh..!!box UK linapa babake lol..!!
    PERIOD!!!

    ReplyDelete
  3. sio kwamba shillingi imepata nguvu ni kwamba dollar na pound zote zimeshuka thamani.kalaghabaho.wanjinga ndo waliwao.

    ReplyDelete
  4. Wee!!Anon uliyesema POUND ipo juu ni sawa !!lakini kumbuka, huna uwezo wa kuisevu hiyo mimi pamoja na kazi mbili nina uwezo wa kusevu DOLA sikai nyumba moja watu kumi kama nyie UK , sipandi METRO,AU TRAIN , Kama nyie nina uwezo wa kuchukua gari lolote la thamani ili mradi credit inaruhusu, sasa hayo mapaundi yako ya kubeba box yanaishia kwenye BILLS TU....na TAKWIMU ZINAONYESHA WABONGO WALOKO NJE WAMEINGIZA DOLA KWA WINGI TANZANIA KULIKO PESA YOYOTE DUNIANI.. SASA KAMA DOLA INATOKA UK .. UMESHINDA!!!ANON

    ReplyDelete
  5. Wabongo wa UK sio kwamba hawatumi sana pound kuna njia nyingi za kupeleka toka UK ambazo ni informal na haziko kwenye hayo mahesabu yao, wewe fala hapo juu.Vile vile huku UK hatuhitaji kutuma sana kwani kwenda kwetu bongo ni kama vile unamsukuma mlevi from £200 - 500 tuu uko Julius Nyerere Intl.Airport.Sio nyie USA mpaka mdundulize hivo vidollar vyenu vya ngama bongo mnaenda mara moja katika miaka kumi.Bongo na UK ni sawa na Kariakoo na Magomeni mapipa these days,tunakwenda kama tunalia vile.
    Wa USA nyie mlie tuu na dollar ndo everyday inaporomoka soon itakuwa kama Zimbabwe Dollar.
    Cha chandu - UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...