Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaah kwa bongo mbona hizi ndio zetu!?Kama Bw.Mkubwa mwenyewe alikabidhiwa mfano wa hundi na taasisi fulani ya fedha duniani halafu kiasi cha fedha kwa maneno na tarakimu kilikuwa tofauti,kwahiyo sishangai sana hii ndiyo bongo Dsm alieuza cheni kauza cheni feki na aliyetoa hela katoa noti ya bandia,mchezo Ngoma Draw hapo.Nchi ya changa la macho!
ReplyDeleteUkirudi tueleze iweje takwimu zimixiwe kila kukicha hasa panapohusu haki za watanzania wa hali ya chini!!!
ReplyDelete