Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hii ya leo kidogo inasomeka
ReplyDeleteBongo mnaibiwa..Canadian dollar ipo juu ya US dollar kwa muda mrefu..mbona huko hai-reflect hivyo?Au kwa sababu Bush alikuwa hapo majuzi?
ReplyDeleteWEWE UNAYESEMA DOLA YA CANADA IPO JUU YA DOLA YA USA UNAISHI WAPI? ACHA KUWATAPELI WATANZANIA BWANA. SASA HIVI UZURI KUNA MTANDAO WANAWEZA KUANGALIA WENYEWE EXCHANGE RATE ONLINE.
ReplyDeleteNI MIAKA ZAIDI YA 3 NIJUAVYO DOLA YA CANADA HAIJAWAHI KUWA JUU YA DOLA YA USA HATA SIKU MOJA. DOLA YA CANADA IPO CHINI KABISA POPOTE UENDAPO. SIJUI UNAISHI NCHI GANI. ULIZA WENZIO WA KARIBU WATAKUAMBIA. HIYO RATE YA DOLA YA CANADA IPO CHINI HADI BENKI KUU. NAJUA UATASEMA NAKO WANAIBA. JE, HATA NJE YA TANZANIA?
ACHA UONGO NDUGU MCHANA KWEUPE.
we mchana kweupe ndiyo hujui dolla ya Canada iko juu zaidi ya American kwa sasa uchumi wa Marekani pia umeshuka mimi naishi hapa Toronto Canada and I know what Iam talking about hata wamarikani wenyewe wamepunguza kuja Canada kutembea kwa sababu ya kuwa pesa yao haina nguvu tena kama zamani.Thanks, a sister from T.O Canada.
ReplyDeleteDOLA ya Canada ipo juu ya dola ya Marekani
ReplyDeleteBofya hapa
http://www.google.ca/search?q=100+USD+in+CAD
kenya naona hela yao inapaa tuu na wakati wana mashida ya uchaguzi
ReplyDeletewadau nisaidieni wana calculate vipi hela ya nchi fulani kuwa na nguvu kuliko nchi nyingine
ntashukuru mkinifahamisha
Anonym 1:21 uko nyuma kweeeli kweli!!
ReplyDeletedoladoladola!Why dollar alone?Tuiangalie na shilingi bwana.Tunaangalia mno kwa wenzetu tunasahau kwetu?Hii sarafu yetu ina matatizo gani?Au tumrudishe mjerumani mzee wa rupia?
ReplyDeletesasa kila wakiambiwa hao kua USA hakuna dili hawafahamu!!!
ReplyDeletekwa uzuri ok kupo poa ...ila kimaslahi USA hakuna dili...hemu nendeni nchi kama UK,Canada mkaone jinsi watu wanavotengeneza hela na zilizopo juu kwa thamani kuliko dola..
na kwa taarifa yenu uchumi USA unaporomoka sasa..!!
shauri yenu!!
hamuachi kukandia kua UK kumechoka tu kila siku...lkn as a matter of fact pound ipo juu hata hiyo Canadian dollar? !!!
nahama USA mie jamaniii...
Jamani hivi hamcheki exchange rate kwenye hizo banks zenu huko mliko au hata kucheck online? Na hii Dollar itazidi kushuka tu kwani sasa haitumiki tena kwenye European market. Pia American economy is slowing down (not stable), foreign investors wanaogopa kwenda Marekani, hata hao internal investors wanafunga biashara zao marekani na kuhamia south America, India, China etc. Sasa nyie ndugu zangu huko bora muanze mapema kuondoka kwani hata hizo kazi za mabox zinaanza kuadimka labda mjiunge na US Marine mkapigane vita Iraq halafu mkirudi US (war veterans) mtaishia kuwa ma homeless maana tunawaona kila siku kwenye news kuanzia wale wa Vietnam war hadi wa first and second Gulf War.
ReplyDeleteKenya kupigana vita sio kwamba pesa yao ishuke kwa kasi, wenzetu walikuwa wako mbali sana kwenye exports ndio maana pesa yao iko stable.
Unajua USA huko wapo mabishololo na watoto wa mama, wakati UK na kwingineko wanaishi WANAUME WA SHOKA.Kwa hiyo waacheni hao wanaojifanya akina P.Diddy kumbe lazima wafanye kazi tatu ndo watume vidollar bongo.
ReplyDeleteCha Chandu - UKEREWE
Kumbe pound bado inadunda... asante sana maana kuna jamaa yangu alikuwa aniuliza pound ni sh. ngapi huko TZ na sikuwa na jibu la kumpa.
ReplyDelete