baada ya kutembelea kijiji cha makumbusho na kujionea nyumba za asili za makabila mbalimbali mdau anamalizia kwa bonge la bufee la kiasili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hivi inaitwa bufee au bafee???

    ReplyDelete
  2. ASANTE SAAAAAANA BWANA MICHUZI NILKUA MIMI HUA NIKISHUKA NAISHIA KWA WAZEEE WA NGWASUMA!!! DUUU NAMPANGO WAKUJA NA MY HUSBUND WANGU ATAINJOI UTAMADUNI/NYUMBA ZA ASILI NIMEVUTIWA SANA NA CHAKULA CHAKIASILI KAMA NINAVYOKIONA KWENYE PICHA

    ReplyDelete
  3. phonetically...inatakiwa kuwa bufee na sio bafee, ila kwa sababu hii lugha sio yetu, waliowengi huwa wanasema bafee....hata wazungu wakimarekani!!!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi unajua kuwa leo Waislam wa kiarabu wa kaskazini mwa Sudani wamewaua waislamu wa Kiafrika wa Darfur?

    ReplyDelete
  5. Sijaona buffet ya kiasili hapo Michuzi... binafsi umenidanganya... ninachoona hapo ni vyakula viko kwenye mitungi/vyombo vya kiasili lakini huo msosi uasili wake siuoni? Labda uniambie uasili ni nini? Maana yangu ni mchele kama mchele ni chakula cha kiasili, lakini mapishi yake yanaweza yakatoa uasili wa chakula kwa jamii tena maana mchele si chakula cha kiasili kwa bongp pekee hivyo hivyo na vyakula kibao tuuuu...

    ReplyDelete
  6. hiyo inaitwa Buffet na sio bufee.

    ReplyDelete
  7. ..ISSA HEBU WEKA HOTELI AU MIGAHWA SAFI INAYO UZA CHAKULA CHA KITANZANIA..

    ReplyDelete
  8. Iwe bafii au bafaa who cares men.It is a good story. Tunashukuru sana hata hivi vyungu na hayo majiko ya mkaa tunaweza kuambiwa yanaongeza pollution. lakini minadhani wakati wa summer hasa huku mamtoni ukiwa baba Q party ukiingia park na vyungu vyako na makjiko ya mkaa na mkaa wako toka Bongo watu watakuona mkali sana. Hamna mambo mazuri kama hayo. Sana sana utaingia Home Depot na kununua jiko la kuchoma nyama dala 700 hadi 1000. Bado hujanunua nyama. Hiyo 1000 yako itaenda kwenye kampuni na brands za mabepari nawe utakiona umekuwa mtu wa kisasa kumbe unaendeleza utumwa wa kumtukimikia bepari. Jiko litakuwa limeandikwa Maytag au General Electric au Sanyo. Aaa hebu wabongo changamkeni bwana hizi biashara za kuiga utamuduni ndio zinafanya mnakuwa wateja na consumers badala ya kuwa producers and profit makers. Tufikirir kwa undani dunia inapokwenda huku dala ikishuka na madafu kupanda tupige makofi sana. Mbona dala ikishuka wanatuumiza kwenye bei ya mafuta?

    Mneno yote tisa kaeni huko lakini agizeni majiko yenu ya mkaa na kusave energy costs, Wal-Mart akijua kuna vyungu na majiko ya mkaa kama ya kibongo ataingilia na kuanza kufanya yeye hiyo biashara. Why? nzuri sana.

    ReplyDelete
  9. Hoteli safi si kina Shelaton huko Kigoma.

    ReplyDelete
  10. Mate yanidondoka... natamani msosi!!!!!!

    Mama Malaika
    UK

    ReplyDelete
  11. Na kweli who cares what thye call cha muhimu hadithi. Na wewe unayesema mchele sio asili yetu ...wewe hujaishi bongo au huijui nchi mbeya kuna kijiji wao hawajui chakula kinine zaidi ya mchele n manake mahindi hayakui huko. Na vitumbua unataka kuniambia ni vya wahindi au wachina? use your little part of the good brain

    ReplyDelete
  12. Du mwana umenikumbusha mbali kinyama!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...