Kwanza ni nini mtu utumie deodorant?
Inajulikana kuwa Jasho pekee halina harufu ila kunapokua na bacteria na unyevunyevu kama vile kwapani hapo ndipo harufu huwepo.
Kwapa ni mojawapo ya eneo la mwili ambalo lina joto na unyevunyevu karibu muda wote. Na nywele kwapani zinaongezea harufu kwa kuwa zinawapa bacteria eneo zaidi la kuzaliana.
Deodorants zinasaidia kuzuia harufu na kupunguza jasho kwapani. Deodorants bora zenye perfum mbalimbali zapatika SINZA MAPAMBANO, karibu na Africasana.
Kwa maelezo zaidi piga au tuma sms kwa Beauty Specialist
@ 0784-521171
au email

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. MIMI NIMEKUWA NIKITAFUTA DEODRANTS AMBAZO SI ANTIPERSEPRANT NA ZISIZO NA ALCOHOL(kilevi)KWA MUDA MREFU BILA MAFANIKIO HAPA BONGO.SIJUI WADAU MNAWEZA KUNISAIDIA KWANI MIMI NI MUISLAM SAFI.

    ReplyDelete
  2. hiyo itasaidia sana usiombe ukutane namtu ananuka kikwapa kwenye daladala alafu kakuwekea mkono kalibu napua hatari

    ReplyDelete
  3. Duh naona blog inapoteza muelekeo, imekuwa blog ya matangazo ya biashara ya urembo! Sasa wewe michuzi ukifanya kazi hii na Shamimi aka Zeze afanye nini?

    Usibane!

    ReplyDelete
  4. man, hii I hope itasaidia mana watu wengi at home they don't use this stuff. I was home in Decemember and mmhmmmh! peeps stink, wote not brothers or sisters. They gotta get into this routine. But, I also would like to know the quality of what is sold. I believe others use it, but it just doesn't last.

    ReplyDelete
  5. ANON March 20, 2008 6:20.first of alll please u need to go back to school make sure unampata mwalimu wako wa kiingereza wa vidudu au primary what ever u call it unauthibitisho tosha print hii mwambia unataka ADA yako yote mzazi wako aliyolipa maana ukufanikiwa kuweza kuongea lugha unaweza mchukulia sheria kama akikataa kwa sababu unavisibitosho kama hivi and if not njoo hapa ulingoni tutakuelekeza jinsi ya kupata haki yako ok.mimi sipo bongo lakini nachukia sana mtu anavyo wainsult watu kuna dada mmoja alikuwa ameenda likizo tanzania nikakutana nae hii england eti anasema nimekutana na wadada bongo wanapendeza lakini vikwapa wanavyonuka si mchezo sasa ungemuona yeye uwa ni mchafu mdomo wake unatoaga harufu nyumba yake inanuka shombo la samaki kila wakati.kwahiyo wacheni kujiona wa maana baada ya kuja ulaya tatizo ili linatokana naulimbukeni

    ReplyDelete
  6. Ukishuka kwenye ndege Bongo unaanza kusikia vikwapa! Bora watu wajifunze kutumia. Na kweli ukipanda kwenye daladala iliyojaa utatoka na harufu ya jasho ya mtu mwingine.

    ReplyDelete
  7. hababi mtu kila mtu na bahati yake huyu ni michuzi na huyo ni zeze
    kila mtu na zali lake
    michuzi fanya kazi yako usichanganywe na watu wa ajabu
    ok

    ReplyDelete
  8. Jamani mbona wabongo mna kashfa za kufuru???Eti bongo kuna vikwapa!!!mkumbuke huko ndo mlikotoka na huku Europe or USA sio kwenu na hata kama una uraia, u r still black african and wewe ni second class citizen tu.
    Kumbuka hao mnaowasema ni dada / kaka /mama na baba zenu.Acheni ulimbukeni kwa kashfa za kijinga.
    Cha chandu - UK

    ReplyDelete
  9. Thank you very much cha chandu -UK majitu ya na masifa sana yakiwa ulaya au marekani ushamba tu acheni ulimbukeni watu wanatumia uraia wa nje kutafuta maisha sio kujiona ndio umemaliza mnatukana watu wa bongo eti wananuka kweli masikini akipata mata.. ulia mbwata mbwata.nashukuru sana wazazi wangu walionifanya nikajua hii dunia since I was little maana watu wamelimbukia wakiwa ukubwani na sisi wezenu tumekuja kutafuta maisha na tunarudi huko huko kwa wanuka vikwapa wenzetu

    Mi-DC

    ReplyDelete
  10. kusema kweli bongo ukishuka kwa ndege tu, unavisikia vikwapa. ni hatari. narudia kusema kwa mara ya tena, jamani deodorant siyo luxury it is a NECESSITY kama vile mafuta ya nywele!.....kwanza hizo ni za wapi mbona sijawahi kuziona huku USA? au ndo yale mambo mnauziwa za dollar store...na kwa akina dada mnatakiwa mnashave kwapa couple times a week, siyo inakuwa kama rainforest...aibu!

    ReplyDelete
  11. Kuna rafiki yangu mmoja yeye anasema hapati usingizi mpaka aisikie harufu ya kikwapa chake, Kwa hiyo jamani kwa wengine kikwapa smell ni burudani,

    pia nawashauri kwa wale wasio na uwezo wa hizo deodorant basi ndimu inasaidia sana kuondosha hiyo harufu.


    By Kamanda Manyota

    ReplyDelete
  12. NIVIZURI KUWA LEO TANZANIA WATU WAMEQEZA KUFIKIA HATUWA YA KUTUMIA DEODORANT NAKUMBUKA KATIKA MIAKA YA 1970 NA MWANZONI 80 WAKATI ULE NI KIJANA MTOGO TULIKUWA TUNAVUSHA SABUNI ZA KUKOGEA KUTOKA ZANZIBAR KWENDA MAINLAND KWA NJIA YA MAGENDOKWA ZILIKUWA NA MAJINA LUX LIFEBOY REXSONA ZILITOKEA uk WAKATI ULE ZANZIBAR INAAGIZA VITU VYAKE VINGI TOKA UK NA KENYA HIZI SABUNI ZILIKUWA NDANI YAKE ZINAMANUKATO NZURI SANA NAPIA KALI SANA KUNA BAADHI YA WATU WALIKUWA WANAJISUGULIA KATIKA KWAPA ZAO NAKUTOKANA NA HALI YA JOTO NA WATU KUWA WENGI KATIKA JIJI LA DAR UTAWAONA POVU LA KWAPA LINA CHURUZIKA KWA ILE SABUNI LEO HII TUFURAHIE KUNA MAMBO YA KILEO SASA SIJUWI WALE WATU HAWAKUJUWA KUWA ZILE ZILIKUWA NISABUNI ZA KUKOGEA TU NA SIO KUWEKA KWAPANI

    ReplyDelete
  13. SIO UONGO WASHIKAJI WENGI MKIJA HUKU HUWA MNANUKA VIKWAPA LAKINI TUNASAWAZISHA KIAINA NA KUWAONYESHA MANUKATO RASMI poleni kama nimewakwaza.

    ReplyDelete
  14. mwanangu wasiwabadiki bei sana hivyo vimbwanga vya makwapa wakiwauzia mia tisa tisini na tisa ou buku ili apate faida poa akiongeza zaidi ya hapo anawaliza kwani hivyo vimbwanga ni viwili kwa dolla moja sasa fanya hesabu msikubali kuingizwa mjini any way hata huku marekani kuna watu wananuka vikwapa so keep it up usiwalangue tu wenzio

    ReplyDelete
  15. MWUZAJI WA DEODORANTS, SIDHANI KUWA NI KWELI KWAMBA JASHO PEKEE HALINA HARUFU. JASHO LINA HARUFU KWA ASILI KWASABABU LINATOKANA NA MAJI YENYE CHUMVICHUMVI -AMMONIUM CHEMICALS ETC. UNAPOKUNYWA MAJI YENYE SUKARI, VYAKULA VINAVYOKUWA NA CHUMVI, VINYWAJI KAMA BIA, SODA, JUICE, NK. VYOTE HIVI VINAYEYUSHWA NA MAJI TUNAYOKUNYWA NA KUTOA SUMU ZOTE KWA NJIA YA 'KIDNEY'. HIVYO JASHO LAZIMA KUNUKA.

    MIMI NATUMIA DEODORANT AMBAYO HAINA HARUFU YOYTE, NA HAIZUII JASHO KUTOKA MWILINI, BALI HUUA KEMIKALI ZOTE ZITOKANAZO NA JASHO NA KUTOTOA HARUFU.

    ILA SASA SIPO BONGO, SIJUI KAMA MWUZAJI UNAZO HIZO. ZILE ZA KUZIBA JASHO LISITOKE, SIYO NZURI SANA, KWANI KUTOA JASHO NI MUHIMU KIAFYA.

    ReplyDelete
  16. jamani swala sio kutukana watu vitu kama hivi inabidi watu waeleimishwe hakuna ubay kwani kikwapa mmh sio fresh ila majority hawajui vitu kama hivi so ndio kuendelea huko watu changamkeni kupiga vita kimbuzimbuzi
    mdau-USA

    ReplyDelete
  17. Kwa kutaka kuelewa zaidi kuhusu deodorants NA MAJASHO nimeona niangalie mtandao unasemaje tatizo ni Ki-inglish tu naomba tafsiri ya yafuatayo:
    FROM WIKIPEDIA, the free encyclopedia;
    DEODORANTS are substances applied to the body, most frequently the armpits, to reduce the body odor caused by the bacterial breakdown of perspiration. A subgroup of deodorants are "antiperspirants", which prevent odor and reduce sweat produced by parts of the body. Antiperspirants are typically applied to the underarms, while deodorants can also be used on feet and other areas in the form of body sprays.
    OVERVIEW:
    Human sweat itself is largely odorless until it is fermented by bacteria that thrive in hot, humid environments such as the human underarm. The armpits are among the consistently warmest areas on the surface of the human body, and sweat glands provide moisture. Underarm hair adds to the odor by providing increased surface area on which this bacteria thrive. Body odor is controlled by reducing moisture, killing bacteria or over powering the bacteria's smell with perfume.

    ReplyDelete
  18. KWA KIKWAPA CHA MWENZIO KINAKERA...ILA CHANGU MWENYEWE HAKINIKERI. NAFIKIRI MTU ANATUMIA DEODORANT KWA AJILI YA WATAOKUWA KARIBU NAYE WAKASIKIA HARUFU SI KWA AJILI YAKE. KAMA MTU HATAKI KUSIKIA KIKWAPA CHANGU... HASA BAADA YA KUTOA JASHO NIKIINUA MKONO AKAE MBALI.....

    ReplyDelete
  19. Soma kwenye hiyo kamusi ya maelezo kuhusu deodorant /jasho
    http://en.wikipedia.org/wiki/Deodorant

    ReplyDelete
  20. nyie mnaosema kuwa mkishuka tu kwenye ndege mnasikia harufu ya kikwapa heee hamuachi? huko erope kwani nao hawanuki kikwapa msitudanganye wao wananuka kuliko hicho kikwapa maana kimeshanganyika na harufu ya sigara,ulevi na kutokukoga kwani wenzetu wanasifa hio ya kutooga kila siku.

    ReplyDelete
  21. Think scientifically, think boadly... Neno bongo kwa sasa linatumika kumaanisha TANZANIA, and no longer DSM. Vikwapa hunuka kutokana na jasho + bakteria, sawa. Kila mtu anatoka jasho, na ndivyo inapaswa. Hizo deodorant "zinazuia jasho" au zinauza bakteria?

    Jiulize, ni kwa nini huyu anuke kikwapa na yule asinuke kikwapa (other factors km kuoga kwa sabuni, kushea hali sawa ya hewa, na hata kazi sawa, plus 'afya' zinakaribiana... are held unchanged). Pmaoja na bakteria na jasho, fahamu yafuatayo kuepuka kunuka kikwapa:

    1. Nyoa nywele kwenye vikwapa, pawe pasafi. KUOGA SIKUMBUSHI, NAAMINI WATU WANAOGA.
    2. Kunywa maji mengi kwa wingi, ili 'kudailuti' concentration inayotoka, na hivyo kupunguza uwezekano wa bakteria 'kukumind.'

    Nasisitiza KUNYWA MAJI MENGI. Ukitaka kuprovu hili la maji, kojoa ukiwa hujanywa maji mengi, nusa! Pia tofautisha rangi ya mkojo wakati ukiwa umekunywa maji ya kutosha na wakati sivyo.

    Tambua: mkojo na jasho vyote ni taka mwili (excretories), so learn to/fro both. (MAVI SIO EXCRETORY PRODUCTS, japo ni taka mwili).

    Aliyesema wabongo wote (sisters & brothers) wananuka vikwapa alimaanisha FAMILIA YAKE. Tumsamehe. Deodorant sawa, lakini... Any question or comment in priva.. >> sinzadst@gmail.com
    SEV

    ReplyDelete
  22. NAONA HII IMEKUA SENSITIVE NA PESENO.....HARUFU ZA MWILI NI KITU KIZURI NA KINA KIWANGO CHAKE. USAFI TUZINGATIE, MAJI TUNYWE NA TUTUMIE VITU KAMA DEODORANTS (ZIPO PIA ZISIZO NA PAFUM), PAFUM, SPRAYS NK. HASA WALE WALIO KWENYE STEJI YA KUBALEHE HARUFU HUWA NI KALI ZAIDI. PIA KUNA HARUFU ZINAZOHITAJI MATIBABU NA SIO PAFUM WALA DEODORANT, UNAHITAJI DAWA KABISA AU ANTIPESPARANT MAALUM!!! MWENYE SHADA YA HARUFU KALI ISIYOWEZWA NA DEODORANT NIANDIKIE dar.beauty@yahoo.com ntakusaidia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...