mwasisi wa goju ryu karate bongo sensei nantambu kamara bomani
baadhi ya wanafunzi waandamizi wa sensei bomani
baadhi ya waliokuwa wanafunzi waandamizi wa sensei bomani enzi hizo. dojo (shule) ya goju ryu karate ilianzishwa nchini mwaka 1973 na hadi leo inaendelea kutoa mafunzo ya kujihami kwa kutumia mikono mitupu (karate) katika ukumbi wa shule ya msingi ya zanaki, ambapo wadau wengi wamepita hapo na wanaendelea kupata mafunzo.
tofauti na dhana iliyopo mafunzo ya karate si ya ugomvi ama ubabe bali ni mazoezi ya maungo na akili ambapo mwanafunzi anatakiwa awe na nidhamu ya hali ya juu katika jamii, huku akiwa na stamina kubwa sio kimwili tu bali pia kiakili. toka dojo hili lianzishwe hakujapata kutokea mwanafunzi kuanzisha varangati isipokuwa labda, na kwa nadra sana, kwa kujilinda. mafunzo haya hayabagui umri ama jinsia na yamewanufaisha wengi ikiwa ni pamoja na bingwa wa kick boxing japhet kaseba ( wa kwanza kulia, waliosimama picha ya kati) na aghalabu mwanafunzi wa karate sio mpole tu bali pia ni mvumilivu wa mambo mengi, ngao ikiwa nidhamu ya hali ya juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wape taarifa wana Blog!
    Habari Njema za NONDOZZZZZZZZZZZ!

    NEW ZEALAND DEVELOPMENT SCHOLARSHIP: 2009



    Ø 1.Regional strategy



    The New Zealand Development Scholarship (NZDS) scheme offers the opportunity to people from targeted developing countries to undertake development-related studies at tertiary education institutions in New Zealand.



    New Zealand Development Scholarship are a central part of the New Zealand Government’s development cooperation programme in Africa. In the Southern and Eastern Africa region, NZAID offers NZDS in the Open category (NZDS-Open) to candidates from Kenya, Southern Africa, Tanzania and Zambia.



    By providing people with knowledge and skills to contribute to the sustainable development of key sectors in their home country, the NZDS scheme aims to reduce poverty, promote health, nutrition and improve rural livelihoods, and contribute to the human resource base of Africa, NZAID capacity building complements the work done in country by multilateral agencies and non-governmental organisations (NGO) projects.



    Ø 2.Type, level and number of scholarships



    Under the Africa Regional Programme, New Zealand offers NZDS-Open scholarships to individuals from Kenya, South Africa, Tanzania and Zambia. The NZDS-Open is directed to public sector, private sector and civil society (including NGO) candidates who independently apply for a scholarship, and who meet the eligibility and selection criteria outlined below. Preference will be given to applicants from disadvantaged communities.



    New Zealand Development Scholarships are awarded for full-time, postgraduate level study (i.e. Postgraduate Diplomas and Masters degrees) in New Zealand. Undergraduate degrees and Doctorates (PhD) are not offered under the Africa Regional Programme.



    New Zealand will offers up to 14 NZDS-Open scholarships for the region, with as equitable a spread as possible across all four eligible countries, for study beginning in the 2009 academic year.



    Ø 3.Priority sectors



    For the 2009 intake, NZDS scholarships will be offered at postgraduate level for study in the development sectors of:



    Ø health (particularly public health, primary health, HIV / AIDS, infectious diseases),

    Ø nutrition, and

    Ø rural livelihoods (including small and micro enterprise development).



    For more information pertaining to criteria, application process, closing date, etc please visit www.nzaid.govt.nz/scholarships/nzds.html External link

    Address for further information:



    NZAID Programme officer

    New Zealand High Commission

    Block C (2nd Floor)

    Hatfield Gardens

    1110 Arcadia Street

    (Private Bag X17)

    Hatfield

    Pretoria 0028

    SOUTH AFRICA



    Tel: +27-12-342 8656/7/8/9

    Email: enquiries@nzhc.co.za

    ReplyDelete
  2. Kumbe karate imeanza zamani sana nchini mwetu hata kabla sijazaliwa.

    ReplyDelete
  3. Kwaio Ukishajua na kufuzu ukipewa mkanda wako ndio basi, mi nlidhani kuna matumizi ya fani hii, walau mtu awe mlinzi au bodigadi, yani kuwa tu mkufunzi afu basi ndio ikoje au nao wana ligi zao na mshindi anapewa tuzo maana sijawai sikia. Hapo ktk suala la Varangati Michu nadhani labda hao tu, wa mtaani kwetu enzi hizo natoka shule walikua wanafanya mazoezi ka jioni flani ivi, mmoja wao anajiita IGOMASTA mgomvi huyo, akija bombani anachota ata ka zamu yake bado, saivi kastolowei yupo dabani anakaba watu bichi, ni soo, heri hawa kama hawana ugomvi maana wakongwe na watu wazima!!
    a.k.a Active X

    ReplyDelete
  4. wa kwanza kushoto ni sensei henry,aka babu,mwaka 1998/1999 ndio nilikuwa mwanamke peke yangu katika dojo la jamhuri,michuzi na wadau msinichezee,nayaweza kinoma ya hu ha.
    MANYUNYU,DUBLIN

    ReplyDelete
  5. Eeh bwana hizi picha zimenikumbusha chama ya Gojuru pale zanaki. Picha pili hapo juu nawaona Mbese (huyu nido Japhet ) halafu Juma Almasi (kumbe ulishakuwa sempai?

    Picha ya tatu Juu waliosimama Kutoka Kushoto:
    Sempai Kheri Kivuli, Sempai Mohamedi..? (alikuwa na Hotel pale opposite na Jengo la Umoja wa Vijana), Juma almasi, anafuata sijui..halafu mwa mwisho kulia waliosima ni Sempai Mbezi.

    Waliochuchuma kati siwajui ila mzee wa mwisho jina limenitoka (ulitoka white belt mpaka Black Belt)

    Waliokaa kutoka kushoto:
    Sempai Charles, anafuta simjui..wa tatu ni Benson (jamaa alikuwa anapenda kiingereza. Yaani Nguzo za mafunzo ni lugha halafu watu wengi Lugha ilikuwa matatizo yaani acha tu!! wa mwisho hapo simkumbuki..

    Good old days, Zanaki Dojo. Tumejenga sana nyumba ya Sensei Bomani kule Mbezi sijui iliishia wapi. Michuzi kama una contact za hao watu hapo niliowataja juu naomba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...