jk akifurahia jambo na wanafamilia ya mh. joaquine de mello (shoto) ambaye ni mmoja wa makamishna wapya wa tume ya haki za binadamu aliowaapisha leo ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Michu bwana - kuwepo hukuwepo lakini picha umezipata - makes one wonder unawatumia nani. JK ataacha kufurahi? Kazungukwa na wanawake watupu - hata wewe Michu ungecheka mpaka mabega - lakini noti, mwenzio haitaji mikonooozzzz....

    ReplyDelete
  2. Mh! De Mello kapewa...haya wajameni...
    Londoner

    ReplyDelete
  3. Dada Monica de mero,naona kicheko si cha bure hicho,tenda za Uhandisi utazipata kiaskofu(kilainiii)dada kashapewa shavu tena!si unajua udongo ulio karibu na ua ridi pia hunukia!!!!haya nafasi ndio hiyo Maisha bora kwa kila kiongozi na jamaa zake!!!

    ReplyDelete
  4. Jk hebu tu siri ya kucheka hivyo umewakamata mafisadi wa Richmond nini? au umepata suluhisho la hao mafisadi bado tunasubiri hatima ya hao mafisadi

    Katochi)

    ReplyDelete
  5. Hongera joackina hongera Monica na hongera pascal de mello!!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Dada Kina yaani hapo safi sana umetulia na hiyo kamishna inakufaa sana!

    ReplyDelete
  7. Mama De Mello alikuwa mwalimu wangu chekechea ya YWCA hao ni mabinti zake?

    ReplyDelete
  8. Hongera dada Kina sanaa!!
    Wewe Annony Salim Dada Monica tenda amezoea hata kabla dada hajapata hicho cheo. Anajituma dada huyo acheni majungu

    ReplyDelete
  9. Mama De Mello, Mzee De Mello, Kina, Monica, Pasqwa, Dominica Hongerani sana sana

    ReplyDelete
  10. Dada Kina mambo yako kila wakati wananyoka tu!! Hngera sana Dada juhudi zako zinaonekana

    ReplyDelete
  11. Wewe Salim kama kwenu ummezoe kuvizia jamaa kupata vyeo ndo mfanikiwe pole sana!! Sio kila familia ina tabia hiyo. Monica anachakaraka mwenyewe miaka yote hategemei mgongo wa mtu bwana acha kashfa zako.

    ReplyDelete
  12. Watanzania mimi nadhani tunapotoa ujumbe tulenge kwa mlengwa na lengo la picha.
    Hongera dada Kina na Monica Hongera kwa dada kupata nafasi hiyo. ningekuwa ninawajua familia nzima ningewataja

    ReplyDelete
  13. Jamani siongei kwa maana mbaya
    lakini jamani damu za kichagga mmh!
    wenzetu nyie mmebarikiwa sijui mnakimzizi gani?
    Namuona na huyo mama mwingine huko Kamishana wa utumishi Mama Shangali
    mmmh! Hongerani wenzetu jamani. Sijui hizi shule za kata na watoto wetu huko.... watatoka miaka ijayo

    ReplyDelete
  14. Sasa jamani asichekelee wakati amezungukwa na wanawake wenye mvuto jamani kuna raha gani tena huku duniani?

    ReplyDelete
  15. Demello sio wachaga ni ma half cast, ila wanaishi Moshi tu! nakumbuka kwao kulikuwa na fensi kubwa na kibao jihadhari mbwa wakali, kwao pale karibu na kwa Alphonce. wachaga wa KDC mtakuwa mnapanyaka

    ReplyDelete
  16. heee nimefurahi kuwaona ma aunty zangu kwa pamoja kasoro dominica maskini sijui alikuwa wapi siku hiyo au ni hiyo mihangaiko. big up to you kina.

    Ash

    ReplyDelete
  17. aunty yangu joackina,hongera sana aunty!i knew huwezi kutupwa hivihivi wakati kila credetials unayo.
    naona aunty monica alivyopendeza pia,duh ngoja nirudi bongo kabla sijapitwa!!

    ReplyDelete
  18. UFISADI UNAVYOFANYIKA.
    SALAMU WATANZANIA WENZANGU! NADHANI WENGI WENU VICHWA VINAWAUMA KWA KUJIULIZA NI NINI WALICHOFANYIA HIZO FEDHA NA NINI WATAFANYWA!!
    KAMA TULIVYOONA TUME IMEUNDWA NA WAHUJUMU WALISHAPATIKANA ILA TUKIULIZA JIBU TUNALOPEWA NI KUWA MAFISADI WAMEKUBALI KURUDISHA FEDHA NA SI VYEMA KUWABUGHUDHI NA TUKIWABUGHUDHI BASI INAWEZA KUHATARISHA USALAMA WA TAIFA!!
    WALICHOFANYA MAFISADI NI KITENDO CHA KAWAIDA AMBACHO VIONGOZI WENGI ULIMWENGUNI WANAFANYA HASA KATIKA NCHI ZA AFRIKA AMBAZO MTU ANAWEZA KUINGIA MADARAKANI MASIKINI AKATOKA MILIONEA. JAMAA HAWAKUWA NA NIA MBAYA YA KUIBA FEDHA KAMA WENGI TUNAVYOZANI, JAMAA WALIKUWA WAMEKOPESHA HIZO HELA. KINACHOFANYIKA NI HIKI: WANACHUKUA HELA NA KUZIWEKA KATIKA ACCOUNT CZAO ZILIZO KATIKA MABENKI(SAVING ACCOUNT) YA NJE AMBAZO ZIPO ZINAZOTOA INTEREST ZINAZOFIKIA HADI ASILIMIA 6, 8 HADI 10 SOMETIME. SASA KWA HESABU YA HARAKA HARAKA UKIWEKA BILIONI 120 KATIKA CD ACCOUNT AU MUTUAL FUND INAYOTOA ASILIMIA 10% KWA MUDA FULANI NADHANI MDAU UTAKUWA UMESHAPATA JIBU KUWA HAKUNA HAJA YA KUIBA HIYO FEDHA MAANA WAKICHUKUA INTEREST PEKEE BASI NI MATAJIRI TOSHA. NA NDIO MAANA WALIPOBANWA HAWAKUWA NA WASI WAKASEMA TUTARUDISHA FEDHA. MCHEZO HUU WA KUJIKOPESHA UNAFANYIKA SANA KATIKA NCHI ZA NIGERIA NA NYINGINEZO NYINGI. KWA HIYO TUME IACHE KUWADANGANYA WATANZANIA NI BORA IKASEMA UKWELI. LAKINI BASI, HATA KAMA WALICHOFANYA CNI HICHO INABIDI WAFIKISHWE MBELE YA MKONO WA SHERIA.
    MICHUZI NINGEOMBA UIWEKE HII KAMA POST NA SIO COMMENT ILI WATU WAIJADILI. AHASANTENI! MDAU MABOXINI!!

    ReplyDelete
  19. Kanifurahisha tu huyo Anon wa Monday March 17, 10:10pm akipinga kuwa De Mello siyo wa-Chagga ni half-caste. De Mello ni half-cast wa ki-Chagga na Msumbiji. Mama wa Machame, baba wa Msumbiji. Mengine utajaza.

    Hii family yote, pamoja na bahati, ni family inayojituma sana katika maisha na wanajua kutafuta maisha. Hongera wote.

    Swali kwa Michuzi. Hivi siku hizi kila mtu ni Mheshimiwa (Mh)? Maana hata mimi nilipotoka Segerea walikuwa wakiniita Mh. pale Manzese Kwa MfugaMbwa.

    ReplyDelete
  20. Dada Kina anastahili iyo post na hata zaid ya hiyo.... She is so hard working na kichwa kinachaji sana..Nimesoma nae MBA darasan akili zilikua zinachaji kwel kwel!!!
    Monica nae ni chapa kazi na huyo alesema kua atapata tender ki-askofu amechemesha...kwani tender zote alipata kupitia mgongo wa dadake alipokua tu wakili wa kujitegemea!!
    We all have to struggle and get somewhere coz " U build ur own nest according to how ur struggling is"!!!

    ReplyDelete
  21. Basi hapa kila mtu atajidai anawajua. Wala mama yao sio wa machame, mama yao mdogo ndio kaolewa machame....Mama yao ni m-kv. Joaquine congrats sana...ubalozi utaupata tu kama mama Maajar, subira yavuta heri. Watoto wake sasa....chapeni kazi

    ReplyDelete
  22. Sio suala la kuwafahamu tu! inaudhi watu kudidimiza maendeleo ya wengine kwa majungu.Wwe Salim bahati yako sikujui

    Ni kweli Mama yao akina Kina yaani Mwalimu mpendwa Mama Christina DeMello ni Mchaga wa Kirua Vunjo. Na baba yao akina Kina ni Mtu wa Msumbiji (Mreno)kwa asili ila ni raia wa Tanzania. Na mama yao mdogo ndio kaolewa Machame.

    Ni familia zenye upendo sana
    Hongereni sana!

    ReplyDelete
  23. Jamani wifi yangu Dominica ulikuwa wapi umepitwa kupigwa picha na JK? Bahati haiji mara mbili!

    ReplyDelete
  24. YAANI WATU KWA KUPENDA KUJIFANYA MNAJUA MAISHA YA WATU..ETI MAMA YAO NI MMACHAME NANI KAKUAMBIA..MAMA YAO ALIOLEWA MACHAME NA MARAHEMU DR URASA NI FAMILIA ZA WAKARIMU SANA WACHA MUNGU NA WAPENDA JAMII NA WASTAARABU SANA.KWA KWELI MIE NAWAPENDA SANA..HONGERENI JAMANI.MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  25. Jamani,hawa wakina demello wacheni tu..Wazazi wao kwa kweli wamejitahidi sana kuwalea vizuri baba yao amewapa kila kitu,mama ya o ni mwalimu mzuri sanaa! hawa ni majiorani zangu pale moshi kdc karibu na keys htl.wana akili hata shuleni.Na kwao hawana mtoto wa kiume.lakini baba yao aliugua sana mwaka jana akawa pale tmj ..hawa watoto walikuwa pamoja wanahangaika na kumuudumia baba yao kama wanaume nakuambia..it was so nice!!!!watoto wana roho nyeupe sana wacha munmgu awaazidishie..mwaka jana nimefundishwa na huyo Paskwa yaani ni mwalimu mzuri sana..nilifukuzwa kazi na amenitafutia kazi mshahar naopata ni mara 2 ya ule..mungu awazidishie wazidi kupata na bidii..lakini mbona mdogowao hyupo??hawa wadada ni matrekta kama baba yao na mama yao.....mungu awazidishie

    ReplyDelete
  26. wewe michu mbona huweki comment zetu nzuri??unasikia wivu??

    ReplyDelete
  27. we michu naona hupitwi mmoja amekosekana hapo yukwapi kapitwa picha.

    ReplyDelete
  28. HUYO MDOGO WAO DOMINICA ALIKUWEPO ILA HATUJUI NI KWANINI WAANDISHI HWAKUMCHUKUA PICHA. ALIKUA AMESIMAMA PEMBENI YA DADA YAKE MONICA.

    ReplyDelete
  29. Acheni kunisakama jamaniiii!nyie mnaona hilo cheko nila bure?Monica namfahamu ni mtu wa kazi na sasa ni muda wake wa kupumzika kwa kuanza kula ki Askofu(Kilaini)tenda zitamfuata nyumbani dada etu!

    ReplyDelete
  30. Leo wazuri wakijiuzulu mnawakandia.Tukumbuke kipindi cha white hear mlisifu saana sasa vp tena mnamkandia?
    By
    UNDERGRAUND

    ReplyDelete
  31. JK CHUKUA NGOMA HAPO

    ReplyDelete
  32. Jamani dada Pasqua uko wapi? you were one of the 'Pretty ladies' I used to admire in Korogwe girls. I was in form 2 when u were in form 6, many yrs ago! I believe y're still beautiful as ever, wish you all the best.

    ReplyDelete
  33. Jamani naomba nicomment ingawa siku zimepita...michuzi nilikuwa safari jamani nikapitwa na uhondo ..Mhe Kikwete ,kweli umefanya cha maana kumpa kazi nzuri huyu DeMello lakini ninavyonjua mimi itabidi umpe cheo kizuri zaidi ili awe mmoja kati ya kuendeleza Tanzania yaani kama waziri hivi au balozi..sijui kama mpaka uwe mwanasiasa au hata msomi mzuri km huyu dada tunahitaji nguvu kazi yake serikalini bana aendeleze guruduma la taifa..dada huyu ni mt u mkweli ,mpenda haki na hasiyependa uongo.yaani hawa wakinadada wafamilia hiyo wana roho ya ajabu..mungu azidi kuwabariki na kuwapanguvu ya kusaidia watu na kuchapa kazi...jamani mpigfa picha natamani nipate copy ya picha haki mheshimiwa amechngamka san..Mungu ibariki Tanzania!kweli nimemisss hongereni familia ya Mzee Demello ...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...