Home
Unlabelled
intaneti za ubwete za samsung
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo??? Kwa uwanja gani mlio nao mpaka Samsung waje hapo, acha kuota !!!
ReplyDeleteDoha airport hapo,nili surf hapo.Bongo uwanja mzima unatia aibu,hasa ile sehemu wanayopita wanaowasili,milango ya vyoo yote mibovu,yaani aibu tupu.Halafu na hili suala la watu wa TRA kufungua mabegi ya abiria kwa kweli linaudhi,sioni kwa nini wasitumie machine badala yake watoe nguo eti wanakagua ,huu ni udhalilishaji.
ReplyDeleteMichuzi acha vituko mtu wangu wabongo walivyo na njaa si wataondoka na hizo flat screen au wakishindwa kabisa wanaweza kuondoka hata na mouse
ReplyDeleteKatochi)
Hii huduma ni kitu cha kawaida, mara ya kwanza mimi kuiona ilikuwa miaka ya 1990 mwishoni kwenye uwanja wa ndege wa Zurich, labda kama Samsung wanaanza sasa, lakini vinginevyo hii kitu ipo tu majuu, hata Dubai kwa Wamanga. Sisi Tanzania tutakapojenga uwanja wa ndege basi tutapata, sasa hivi tu lami tu ya kutua ndege.
ReplyDeleteMichuzi ,
ReplyDeleteTufikirie kwanza kutoa huduma muhimu kwa jamii kama maji, umeme na hospitali . Tuache kuwa na mawazo cosmetic ... kwanza mtandao hauna kazi bongo zaidi ya kusoma email.
misupu wewe mwentewe unawabania wa2 kwenye kablog kako ije iwe uwanja wa serikali?pumbavu sana wadau wa kuala lumpur wamekutumia mwaliko wa chama umebana nyie ndio walewale bora uende nje ushangae kidogo kudadadeki mshamba mkubwa bora mjengwa huna ishu bataaaaaaaaaaaaaaa,mdau kinondoni
ReplyDeleteni umasikini tu ila hata mchuzi anachangia km mwana habari ataishia kushangaaaaaaaaaaaa.mdau bukoba
ReplyDeleteukiachana na kiwanja bongo hata hotel za nguvu hamna wfi pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuu.mdau kilmanjaro kula biaaaaaaaa mgodi umetema
ReplyDeleteukifika malaysia airport ambayo ndio best airport inthe world last year 2007 ina kila ki2 ungeshangaa tembea kaka ,mdau kl,malaysia
ReplyDeleteHapo Doha airport! Jamaa wamejitahidi sana kupaboresha ila kinachobore tu ni adha ya kuparamia mabasi na kusafirishwa kwa muda mrefu wakati wa kupanda na kushuka kwenye pipa! Walao kwa hili bongo tumewaacha. Ila uwanja wao ni bomba na umetulia! Mdau Oslo
ReplyDeleteHii habari ya kutoa nguo Kaboka iko maeneo kibao kama si viwanja vyote jamaa wakikushtukia tu na haswa ukiwa ngozi nyeusi. Binafsi Doha jamaa walinisachi kila kitu ikiwa ni pamoja na kufungulia hand luggage yangu tena mezani peupeeee!!!
ReplyDeletemi nafikiri wangetengeneza ac kwanza hapo DIA lasivyo hapa computer zitagoma kwa joto au jasho litakuwa linamwagikia kwenye computer mwisho zinakufa
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteDuh inaelekea hii ulichelewa sana kuinyaka. Hiyo iko muda mrefu kwenye viwanja vingi vya nguvu. Na sio SamSung tu. Ni huduma ya kawaida kabisa hii ukienda JFK, Heathrow, n.k
Duh! acha utani wa ukweli! ziwekwe bongo wahuni hazifikishi ht dk watabeba! NO ustarabu..
ReplyDeletesio viwanja vya ndege tu. kuna public places hapa america ambapo unakwenda kusurf free of charge,nashangaa bongo bado mnatozana kusurf,nchi balaa hiyo alafu mnatuambia turudi loo'tutaendelea kubeba maboksi kama mnavyosema
ReplyDeleteAlafu mijitu mingine imekalia negatives..kwani zikiwekwa si unafunga cctv alafu jamaa anamonitor atakayejaribu kunyakuwa unamuona. hii ni public access na ndio matunda ya kodi na hiko kila sehemu viwanjani na hata kwa hospitals scandinavian coutries nimepita nimeona. Yaani kule home naona pale posta ati watoza hela tena 500 sijui 1000 what? kodi yaenda kwa matumbo ya watu alafu zinawadhuru
ReplyDeleteWewe anon wa 2:49, airport ya malaysia ni moja ya airport best 2007,lakini siyo number 1.angalia
ReplyDeletehttp://www.worldairportawards.com/Awards_2007/Airport2007.htm
we michuzi acha kuota , tengenezeni vyoo kwanza kwenye uwanja wenu
ReplyDeletebongo tanbarare!
bongo kwetu sawa,lakini bado sanaa! tambarare mnayosema watu wachache sanaaaaaaa! ukiweka computer kama hizo na internet watu watalala hapo hapo na kuziiba juu , nasikia watu wameshaanza kujisaidia kwenye masinki ya uwanja mpya wa taifa, sio nakandia lakini nikweli watu wanaandika toilet! hehe bongo sio tambarare wakubwa!tumuombe mungu na kujitahidi sana ili bongo iwe tambarare
ReplyDeleteMimi tangu mshkaji wangu aingize karata ktk simu za ACG (ADESEMI), mnazikumbuka? Nikasoma tena jamaa aliweka kadi ya vocha (scratch card) katika ATM mashine, nkasikia tena ATM imevunjwa, leo hii siamini kama flatskrini zingedumu pale aepoti...sisi sijui tuna upungufu wa nini, ila naamini bado hatuitaji intaneti pale uwanjani, intaneti ya nini bwana mi nna mishe za kuruka bora simu za bure!!
ReplyDeleteNdio Manake!! zey havu tu difaini awa nids bwana!!
a.k.a Active X
Hilo ni jambo la kawaida katika nchi nyingi zilizopiga hatua kimaendeleo. Kunakuwa na mtandao wa bure sehemu zote muhimu kuanzia airport, kwenye maktaba na hata katika supermarkets. Bongo bado sana, badala ya kuangalia suala la mtandao, inabidi tuangalie masuala muhimu kwa maisha ya binadamu kama maji umeme na mahospitali. la sivyo tutakufa tu kila siku kwa magonjwa yanayoweza kutibika..
ReplyDeleteMdau Tehran
na wala haitafika manake bongo ikifika ujue kuna watu watalala hapo hapo uwanja
ReplyDeletekama anavyosema mdau wa juu hii ni huduma ya kawaida sana tu,hapa korea ,tunachati bure kwenye subway station,bus terminal nk,lakini kwa hapo bongo naona bado saana,kwanza huo uwanja sio wa ivo bwana michuzi!!!!!kutwa unasafiri huoni ?wewe vipi,wacha kuwalaghai wadugu walioganda bongo bwana!!!!aaaah
ReplyDeleteMimi naona Michuzi alikua anazungumzia hizo computer hapo na Internet access
ReplyDeletekama NI WIFI sio kazi soon itaingia....Niliona kwenye gazeti la IT tech kuna kampuni inaleta hizo service soon kwenye baadhi ya nchi Africa na nchi moja wapo ilikua bongo.
Hiyo sio big deal ....tatizo litakua ni sehemu gani hizo access zitakuwapo? Manake wenye vilaptop na simu zenye WIFI watakua wanashinda kutwa kwenye hizo sehemu ili wapate free internet waache kulipia huko nyumbani kwao.
labda mzifunge hizo kompyuta na minyororo kwani hata kabla ya kufika panapotakiwa zitapotea!!!na majizi yetu kweli profeshno...
ReplyDeleteAh hiyo huduma labda hapo bongo ndio hamna ila huku kwetu pemba tushaekewa hapa airport na raisi wetu madevu. yaani freeee....
ReplyDeleteNatania tu wadau msinisulubu!
By Kamanda Manyota