Jamaa katoka kwao Ujerumani miaka mingi iliyopita kaacha familia yake kuja kusaidia watu wa Namalulu Mkoa wa Manyara. Hilo Jumba hapo chini ni kisima cha maji na juu anaishi huyo Mmisionari. Inavutia sana

Mdau Agata

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hakuna madini huko? Hii inayodaiwa ni misaada ya wageni toka enzi za ukoloni, mpaka leo haijatufikisha popote!!

    ReplyDelete
  2. africa bara giza ndugu zangu huyu anayejiita madau anadai inapendza anahani duniani kuna makte wa bue???? hakuna dada , kumbuka mtu hawezi kuja kukusaidia tu aache familia yake ka mjinga ,mbongo ata wakijengewa choo atona sawa tu na kusema inapendeza , itapendezaje huku tunalipa kodi mafisadi wanazila sie tunacheka tu si aibu hii , maziwa, mito , bahari nk lakini hadi mzungu aaache familia yake kuja kuwasaidia , aibu , hadi chupi mtavalishwa sasa

    ReplyDelete
  3. MUMIANI HUYO SIJUI KAMA SIO BOY FRIEND WA MSEKWA

    ReplyDelete
  4. Misaada ya kweli au kutuumbua tu

    Huyo alikua na dream ya kujenga cassle yake na huko kwao asingeweza kujenga hili jumba.

    kama ni kusaidia watu jenga nyumba ndigo tu hili lote la nini kama umekwenda kusaidia watu....


    Tufungue macho ....Na tax analipa shilling ngapi kwa mwaka...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...