Home
Unlabelled
kwaheri balozi charles kileo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana wafiwa, nimesikitishwa sana na msiba wa balozi Kileo. Nini kimemuua mzee wetu jamani?
ReplyDeletekweli duniani tunapita.
R.I.P the late Amb.Kileo!
ReplyDeleteKwenye hii picha nimemuona kwa mbaali aliyekuwa PM Bw.Tedd Lowassa nilikuwa nishaanza kumsahau maana enzi zake nilikuwa namuona daily kwny matukio mbalimbali sijui alikuwa anapenda publicity!?
R.I.P uncle Charles. We will miss you!!!!
ReplyDeleteRIP Mzee Charles Kileo.
ReplyDeleteHuyu alikuwa boss wangu kwa muda fulani in mid-1980's pale PMO. Alitusaidia vijana wengi tuliokuwa tunakimbizana na kuibuka na maisha. Mara ya mwisho tulionana 2005 akiwa anajaribu kurudi katika ulingo wa siasa Moshi.
Bwana Ametoa, na Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Lihidimiwe.
Pole sana kwa family yake yote.
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe. Amen.
ReplyDeleteNafikiri kuwa alipovamiwa na Majambazi kule Afrika Kusini ndio kumechangia kifo chake.
Poleni wafiwa
ReplyDeleteJamani Lini tena huu msiba, mbona niko BOngo na isja sikia, jamani namkumbuka huyu KIle, je ni mumewe mwalimu KIleo aliye tufundisha Oysterbay primary school?
R.I.P Mr Kileo
Pole sana kwa familia
ReplyDeleteR.I.P uncle Kileo
Poleni Kwame, na wengine. Nakumbuka huyu baba alikuwa mgeni rasmi nilipomaliza high School Dodoma 1990
ReplyDeleteMchapakazi na handsome.
RIP mzee mzima.
Jamani anko charless!mungu ailaze roho ya marehemu mahala panapostahili!!wamchamme wa nkuu ndoo poleni sana kwa msiba mkubwa..familia na ndugu wote wa marehemu poleni.
ReplyDeleteJamani Poleni yeyote aliye guswa na msiba huu.
ReplyDeleteNaomba nipeni jibu kwa yeyote anaye Mfahamu huyu Marehemu Mr KIleo, kuna mnao sema ni Uncle wenu, tafadhali naomba mnifahamishe kama huyu Marehemu alikua na Mke ambaye aliwahi Fundisha shule ya Msingi Oysterbay , nakumbuka ni alikuwa anaitwa Mwalimu KIleo ,Asante .
R.I.P Mr Kileo
Dada sio mkewe majina yanafanana kama kuna masawe machame ,rombo,kibosho..kwahiyo ni majina tuu,yeye alikuwa balozi muda mrefu tuu...
ReplyDeleteAsante sana kwa jibu zuri ,maana nilidhani ni huyo, ila mimi s io dada.
ReplyDeleteThanx
sasamimi nitajuaje kama wewe sio dada ni kaka?ukuweka jina lakini swali linafanana kama wewe ni dada
ReplyDeleteRIP Balozi Kileo !
ReplyDeleteNi kweli ni mume wa Mwalimu Kileo alifundisha Oysterbay Primary Schoo wengine watamjua kama Mama Kwame.
Mwl. Lilian Kileo, Kwame, Josina, Aika, Nimrodi (Timba) na Noeli, and ndugu wote, tunawaombea Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hichi kigumu.
Rest in Peace Mbunge mstaafu wa Wilaya ya Hai.
Shaaaaa...Pole Kwame...Jamani Poleni Saana na wengine about your dad...Pole Saana...Sha. May God Rest his soul in eternal peace.
ReplyDeleteJanet N - (UG mate)
P.S I just googled looking for you and found this link...