Home
Unlabelled
picha rasmi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli kazi
ReplyDeleteMzee Pinda mwenyewe.... I
HIYO PICHA YA CHINI NI WAZIRI MKUU KATIKA SHUGHULI ZA CCM AU ZA KISERIKALI? MAANA IMELENGA ZAIDI ITIKADI ZA KISIASA.
ReplyDeletePicha ya kwanza iko sawa, ila backgound ya njano kwenye picha ya pili haiko sawa.
ReplyDeleteMdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Duh! Thanks Michuzi...lakini hapo Muheshimiwa yuko serious au anatabasamu??
ReplyDeletemmmmmmmmmuhu sura imebadilika haswa
ReplyDeletekwa kipindi kifupi tu kweli madaraka ni matamu haswa
eehh sasa mhe.anza kazi kama PRIME MINISTER katika ziara ulizofanya nimeshindwa kutofautisha kazi unayotakiwa kufanya sasa kama PM na uliyokuwa unafanya ukiwa TAMISEMI!
ReplyDeletesasa tunataka kukuona unakabiliana na mafisadi wakubwa(EPA-BOT,TICS,BUZWAGI,RICHMOND,KIWIRA,NA CHANGAMOTO ZA MAENDELEO)na badala ya vidagaa(madiwani)huko sasa muachie stephen wassira"tyson"
WEWE UMEPEWA MENO MAKALI(UWAZIRI MKUU) KWA AJILI HIYO MHE!
hi!Kumbe naye waziri mkuu ni msanii
ReplyDeleteanayejulikana kwa jina la kiusanii
Mheshimiwa Mizengo Pinda aka ras-mi
karibu sana mheshimiwa katika mtandao wa jamii
huyu bosi inelekea kweli rushwa hatakula , sura yake imekaa kiunoko, lakini je atakuja na sera za kutuinua watanzania ,kutokula rushwa hiyo ni mpaka hiyo rushwa ije!
ReplyDeleteunamaanisha nini kusema picha rasmi?kwani zingine zinakuwaga za nini?
ReplyDeletemdau
We anony usiejua tofauti kati ya picha rasmi na nyinginezo uko dunia gani? Picha rasmi maana ya ke ni picha ofisho ambayo imedhibitishwa na kubaliwa na ofisi ya PM sio to ambayo umepiga ktk kamera yako ya tobwe.....eboo!!! Shule noti richabo?
ReplyDeletePINDA HANDSOME BOY....
ReplyDeleteMADAU RHODA
cheka na uhuru
ReplyDeleteUwiiiiiiiiiiiiii.......
ReplyDeleteJamani wadau naomba niulize hivi?
ReplyDeleteMh. ana udugu na michu? Sababu ukisogeza picha ya pinda karibu na michu hapo juu pembeni almost sawa.
Kilichokosekana ni Mh. kidogo aweke tabasamu sijui cheko iyo kama ya michu basiii.
Duniani wawiliwawili.
Picha ya juu ni nzuri. Ya pili mbona yuko Purple!
ReplyDeletemh unaambiwa sura mamayake mtupu
ReplyDeleteDuh Mh.ana sura ngumu kweli anaonyesha ni mserikali zaidi na sio mwanasiasa kama aliyemtangulia,design atatufaa tumpe muda ila issue za kuwatimua madiwani(DAGAA)ni ndogo amwachie waziri wa Tamisemi alikotoka ila yeye aanze na vigogo(PAPA)wale wa EPA,RICHMONDULI,TICS,TISCAN,KIWIRA,IPTL....
ReplyDeleteNimeikubali hiyo picha ya kwanza mtu wangu ila adha kazi rasmi muda wa kuwachukulia hatua mafisadi umefika ulituahidi mwezi wa nne sasa ndio wakati wake mambo ya kuzunguka mikoa kwa kutoa pongezi imepitwa na wakati kama vipi toa shukrani kwa Wabunge kwa sababu ndio waliokuchagua na Mh. Jk kwa kukuteua
ReplyDeleteKatochi)
Mheshimiwa handsome kaa Denzeli!!! Huyu Kikwete kweli ana makusudi!!!
ReplyDeleteMwanamume asifiwi kwa uzuri wa sura,bali kazi....Ila kwa sie ambao ni wapagani wa siasa aka tupo nyutro aka hatufungamani na chama chochote,hiyo picha ya chini HAITUHUSU. Mheshimiwa tunaimani nae ila anachelewa kuanzisha mchakamchaka.Aige mfano wa mzee wa vitoweo,Mh.Pombe Magufuli. Namuaminia kesha anza mashambulizi hamna kuremba hiyo,wale wale wote waliopewa ranchi za taifa waziendeshe wao wakageuza na kufanya miradi mingine anawapora. Safi sana mzee wa vitoweo. Onesha viwango
ReplyDeleteKwani Michuzi unaundugu na huyu Mheshimiwa? Mbona kama mnafanana?
ReplyDeleteBei ya saruji kuendelea kupanda
ReplyDelete2008-03-13 13:43:08
Na ITV Habari
Bei ya saruji itaendelea kupanda kutokana na bei kubwa ya umeme, pamoja na ongezeko la gharama za uzalishaji.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na waziri wa viwanda, biashara na masoko Dk. Mary Nagu alipokutana na wazalishaji wa bidhaa hiyo.
Du hyu jamaa kesha pendeza.
ReplyDeleteSasa hiyo saruji inayopanda kila siku tutajenga kweli?????
Mdau
UK
..WAZIRI MKUU UMEPENDEZA SANA..HALAFU PICHA YAPILI UMESAHAU KUVAA SHATI..
ReplyDelete