nikiwa karlstruhe jana
dah! namisi supu ya utumbo ya break point. haya mambo wala hayachengui kiivyo...
jamaa noma kweli. sie mabenzi tunawapa wah. wao wanafanya teksi...
hapa lazima nije na chibiliti siku moja...
nawasili frankfurt leo kuendeleza libeneke la vekesheni yangu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. marosti nimekubali kweli wewe ni taifa kubwa...yaani chibiliti alivyo star hata huko uliko unamkumbuka?je sisi wana wa libeneke je?

    ReplyDelete
  2. UNGEENDA NA CHIBILITI ANGEKATALIA HUKO HAPO ALIPO KESHA JITWIKA MAMA AKE HUKO SI ANGEJICHICHUKULIA BI AJUZA CHIBILITI ANAPENDA SANA MAJIMAMA,UNGEENDA NAE ANGEKATAA KURUDI YULE WALA HAFAI HAHAHAAAA

    ReplyDelete
  3. Michuzi vipi wangu ondoa hiyo price tag mpaka watu wote wajue umenunua fulana mpya kwenye kunywa supu. Poa furahia mapumziko mema, na tupostie mijengo ya huko.

    ReplyDelete
  4. Ndio hivyo kaka Germany, Holland benzi Tax ila back home naona ukiwa nao unajulikana kote nafurahi unavyowafungua macho...ughaibuni ndio ilivyo ingawa flavas za break point uwezi pata ila najua umepumua na joto mafua na vumbi hata kiatu hakuna mtu wa kukusumbua oh napiga kiwi kwa bei rahis alafu anakupa kandambili tofauti ati anaimagine unaweza ingia nazo mitini wakati unakunywa bia na supu IoI Yaani mwizi huwa amwamini mwizi mwenzie
    Londoner

    ReplyDelete
  5. Unashangaa supu ya wana-ujiji subiri unywe supu ya wahabeshi(waethiopia).Nilikuwa ethiopia nikaletewa supu.Ukifika kwa wahabeshi ukaagiza supu utakoma kuringa maana supu yao ni Uji kwetu.

    ReplyDelete
  6. michuzi mbona mbinafsi sana?nimekutumia picha yangu hujaweka,,nimesalimia wana blog na heri ya pasaka..unabadika mapicha yako tuuuuu

    ReplyDelete
  7. KAKA MICHUZI SITACHOKA KUKUULIZA VIPI MBONA VACATION ZAKO ZOTE UNAENDA BILA YA MKEO? KULIKONI?

    ReplyDelete
  8. Sasa Michuzi ulitegemea kukuta Taxi za BAJAJI Ujerumani????
    India ungekuta nini sasa??...

    ReplyDelete
  9. Michuzi how come vakesheni zako zote unakuwa solo artist? wife vipi haambatani na wewe?
    why??...
    Kwanini bwana???....

    ReplyDelete
  10. KAKA MICHUZI JAMANI HIVI UELEWI LUGHA LAKINI MANKA MUSHI YUKO WAPI JAMANI AU NDIO UMEJISHINDIA MWENYEWE TUTAFUTIE .MIMI NA WASIWASI TU YA AFYA YAKA KAMA MZIMA AMEKUWA KIMYA AU SIUNAJUA NA JALI MIMI MPENDA WATU

    ReplyDelete
  11. Mjomba naona fulana za ngazingazi unazimaindi. Mtu mzima acha ushamba!

    ReplyDelete
  12. wake wako wanne sasa ni nani atakwenda safari zote hizo bora adunde mwenyewe na rent a wife hipo hiyo kila kona siku hizi bro misupu,so endeleza tu libeneke mkuu

    ReplyDelete
  13. That's not supu Michuzi.Cereal is what u having for breakfast and I ain't seen no becon on the table. Down here they put honey on meat and they say thats BBQ sauce. Hawachemshi nyama na chumvi na pilipili bila ya kui spice a little bit kama bongo. Next time I will invite you when you around town. Ashakum si matusi lakini katika BBQ kutakuwepo na mfalme wa meza, namaanisha chittlings,pig feet & tounge for the soup, Pork chops, becon wrapped up no steak, shrimp and fish. Then you gonna tell me muislam ni nani wakati mimi ni mtoto wa ustadh.
    USA.

    ReplyDelete
  14. vipi bw. michuzi, mwarobaini imo umo?. ulivyoikunja sura kama vile watafuna chloroquine, kulikoni mh. watuangusha

    ReplyDelete
  15. CIVICS...? Nasikia jamaa wa huko ni wabaguzi wa rangi ile mbaya; mzee, na hili usisahau kutudropishia ekspiriensi yako. Kuna uwezekano umekumbana nayo.

    Jamani wadau wa Japan, kunradhi, tupeni uzoefu wenu juu ya ubaguzi wa rangi. ((Jeman & Japein))

    ReplyDelete
  16. Solo Artist

    ReplyDelete
  17. MICHUZI HII HABARI YA BENZ IMENIKUMBUSHA MBALI SANA

    ...BENZ UJERUMANI NI TAXI, LAKINI HAPA KWETU NI GARI ZA WAHESHIMIWA...

    ni kama vile

    ...LUGHA YA KIINGEREZA KULE UINGEREZA NI LUGHA YA WATU WOTE, LAKINI HAPA KWETU NI LUGHA YA KUJIONYESHA KUWA MSOMI...

    ReplyDelete
  18. oyaa braza, vipi tena, naona jezi na koti la suti, bora uonane na wataalam wa fashion wakupe tips kidogo

    ReplyDelete
  19. Yani wanikumbusha mbali bro Michuzi. Nakumbuka mara ya kwanza nimepanda benz ilikuwa 1994 huko nchini Denmark (mji wa Horsens). Ilinibidi niwapigie simu nyumbani kuwaeleza kuwa huku Benz ni taxi, hawakuniamini wakafikiri nawapiga kamba. Tena mpya sio michemsho. Siwajua Benz za ujiji kaka!!

    Nakutakia vekesheni njema. Haya ukija UK tushtue basi ili tuonane. Tukutembeze hadi vijijini uje uone ng'ombe wa huku sio wa kisukuma, kimasai na kigogo peke yake.

    ReplyDelete
  20. MICHUZI UNAENDA TENA FRANKFURT SI NDIO UMETOKA HUKO JUZI TU AU MNYALUKOLO KASHAKUCHENGUA NA KIVAZI CHAKE CHA GEREJI TARATIFU USIWEKE KAMBI TU... HUKO FRANKFURT HAKUNA TUBIBI BIBI TUKAMPOSEA CHIBIRITI? SI UNAJUA JAMAA KAROGWA NA VIBIBI.

    ReplyDelete
  21. Natoka nje ya topic mzee misupu,nasikia Maulid wa Kitenge kaoa mke wa tatu hebu tupe ma picha ya harusi basi???

    ReplyDelete
  22. kaka michuzi naona kidogo umekosea hilo yai ipo sehemu maalumu ya kuliweka kipo kidude cha fedha hapo ndio spesheli cha kuwekewa yai

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...