Home
Unlabelled
libeneke ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
marosti nimekubali kweli wewe ni taifa kubwa...yaani chibiliti alivyo star hata huko uliko unamkumbuka?je sisi wana wa libeneke je?
ReplyDeleteUNGEENDA NA CHIBILITI ANGEKATALIA HUKO HAPO ALIPO KESHA JITWIKA MAMA AKE HUKO SI ANGEJICHICHUKULIA BI AJUZA CHIBILITI ANAPENDA SANA MAJIMAMA,UNGEENDA NAE ANGEKATAA KURUDI YULE WALA HAFAI HAHAHAAAA
ReplyDeleteMichuzi vipi wangu ondoa hiyo price tag mpaka watu wote wajue umenunua fulana mpya kwenye kunywa supu. Poa furahia mapumziko mema, na tupostie mijengo ya huko.
ReplyDeleteNdio hivyo kaka Germany, Holland benzi Tax ila back home naona ukiwa nao unajulikana kote nafurahi unavyowafungua macho...ughaibuni ndio ilivyo ingawa flavas za break point uwezi pata ila najua umepumua na joto mafua na vumbi hata kiatu hakuna mtu wa kukusumbua oh napiga kiwi kwa bei rahis alafu anakupa kandambili tofauti ati anaimagine unaweza ingia nazo mitini wakati unakunywa bia na supu IoI Yaani mwizi huwa amwamini mwizi mwenzie
ReplyDeleteLondoner
Unashangaa supu ya wana-ujiji subiri unywe supu ya wahabeshi(waethiopia).Nilikuwa ethiopia nikaletewa supu.Ukifika kwa wahabeshi ukaagiza supu utakoma kuringa maana supu yao ni Uji kwetu.
ReplyDeletemichuzi mbona mbinafsi sana?nimekutumia picha yangu hujaweka,,nimesalimia wana blog na heri ya pasaka..unabadika mapicha yako tuuuuu
ReplyDeleteKAKA MICHUZI SITACHOKA KUKUULIZA VIPI MBONA VACATION ZAKO ZOTE UNAENDA BILA YA MKEO? KULIKONI?
ReplyDeleteSasa Michuzi ulitegemea kukuta Taxi za BAJAJI Ujerumani????
ReplyDeleteIndia ungekuta nini sasa??...
Michuzi how come vakesheni zako zote unakuwa solo artist? wife vipi haambatani na wewe?
ReplyDeletewhy??...
Kwanini bwana???....
KAKA MICHUZI JAMANI HIVI UELEWI LUGHA LAKINI MANKA MUSHI YUKO WAPI JAMANI AU NDIO UMEJISHINDIA MWENYEWE TUTAFUTIE .MIMI NA WASIWASI TU YA AFYA YAKA KAMA MZIMA AMEKUWA KIMYA AU SIUNAJUA NA JALI MIMI MPENDA WATU
ReplyDeleteMjomba naona fulana za ngazingazi unazimaindi. Mtu mzima acha ushamba!
ReplyDeletewake wako wanne sasa ni nani atakwenda safari zote hizo bora adunde mwenyewe na rent a wife hipo hiyo kila kona siku hizi bro misupu,so endeleza tu libeneke mkuu
ReplyDeleteThat's not supu Michuzi.Cereal is what u having for breakfast and I ain't seen no becon on the table. Down here they put honey on meat and they say thats BBQ sauce. Hawachemshi nyama na chumvi na pilipili bila ya kui spice a little bit kama bongo. Next time I will invite you when you around town. Ashakum si matusi lakini katika BBQ kutakuwepo na mfalme wa meza, namaanisha chittlings,pig feet & tounge for the soup, Pork chops, becon wrapped up no steak, shrimp and fish. Then you gonna tell me muislam ni nani wakati mimi ni mtoto wa ustadh.
ReplyDeleteUSA.
vipi bw. michuzi, mwarobaini imo umo?. ulivyoikunja sura kama vile watafuna chloroquine, kulikoni mh. watuangusha
ReplyDeleteCIVICS...? Nasikia jamaa wa huko ni wabaguzi wa rangi ile mbaya; mzee, na hili usisahau kutudropishia ekspiriensi yako. Kuna uwezekano umekumbana nayo.
ReplyDeleteJamani wadau wa Japan, kunradhi, tupeni uzoefu wenu juu ya ubaguzi wa rangi. ((Jeman & Japein))
Solo Artist
ReplyDeleteMICHUZI HII HABARI YA BENZ IMENIKUMBUSHA MBALI SANA
ReplyDelete...BENZ UJERUMANI NI TAXI, LAKINI HAPA KWETU NI GARI ZA WAHESHIMIWA...
ni kama vile
...LUGHA YA KIINGEREZA KULE UINGEREZA NI LUGHA YA WATU WOTE, LAKINI HAPA KWETU NI LUGHA YA KUJIONYESHA KUWA MSOMI...
oyaa braza, vipi tena, naona jezi na koti la suti, bora uonane na wataalam wa fashion wakupe tips kidogo
ReplyDeleteYani wanikumbusha mbali bro Michuzi. Nakumbuka mara ya kwanza nimepanda benz ilikuwa 1994 huko nchini Denmark (mji wa Horsens). Ilinibidi niwapigie simu nyumbani kuwaeleza kuwa huku Benz ni taxi, hawakuniamini wakafikiri nawapiga kamba. Tena mpya sio michemsho. Siwajua Benz za ujiji kaka!!
ReplyDeleteNakutakia vekesheni njema. Haya ukija UK tushtue basi ili tuonane. Tukutembeze hadi vijijini uje uone ng'ombe wa huku sio wa kisukuma, kimasai na kigogo peke yake.
MICHUZI UNAENDA TENA FRANKFURT SI NDIO UMETOKA HUKO JUZI TU AU MNYALUKOLO KASHAKUCHENGUA NA KIVAZI CHAKE CHA GEREJI TARATIFU USIWEKE KAMBI TU... HUKO FRANKFURT HAKUNA TUBIBI BIBI TUKAMPOSEA CHIBIRITI? SI UNAJUA JAMAA KAROGWA NA VIBIBI.
ReplyDeleteNatoka nje ya topic mzee misupu,nasikia Maulid wa Kitenge kaoa mke wa tatu hebu tupe ma picha ya harusi basi???
ReplyDeletekaka michuzi naona kidogo umekosea hilo yai ipo sehemu maalumu ya kuliweka kipo kidude cha fedha hapo ndio spesheli cha kuwekewa yai
ReplyDelete