kabla ya kuondoka bonn nilibahatika kutembelea makazi ya Ludwig van Beethoven, mwanamuziki mashuhuri wa ujerumani ambaye anatamba duniani kote hadi hivi sasa ingawa alikufa machi 26, 1827. hivi tunavyoongea tamasha kubwa la kukumkumbuka linaandaliwa mjini bonn. kwa habari zake zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kweli michuzi, wewe mkali ndo maana blog yako ina mambo juu ya mambo. mambo toka Goethe Institute, YMCA Disco, Magoots, Mbowe Hotel(sasa Bilicanas, Motel Agip Hotel, Kilimanjaro swimming pool music& dicso, Mbudya island, Dj Holela, Young Millionaire, KaliKali, John Peter Pantalakis, Keys Hotel, Bakhresa Ice-cream Riddochmotors, Zanaki Judo club,Rungwe Oceanic n.k
    Michuzi watu hawakuwezi social-contacts na 'weak social links' zako ulizianza zamani na matunda ndo unayafaidi sasa.
    Mdau aliyeona Vijiwe vyako
    Senior Junior
    London.

    ReplyDelete
  2. nimekubali michuzi,wewe ni mla vumbi wa kwanza kujifanya unamjua beethoven,lakini state of mind yako naamini haikuruhusu kusikiliza music wake

    ReplyDelete
  3. Michuzi sasa sikuwezi. Ujue mie napenda sana classical music. Kwa upenzi huo nimeweza hadi kwenda Salzburg (Austria), kwenda kuona nyumba alimozaliwa na kukulia bwana Wolfang Mozart na nilienda Vienna kuona sehemu alikokuwa akifanya maonyesho yake hadi anakufa. Pia Salzburg ni mji walio act sinema maarufu kwa jina la Sound of Music.

    ReplyDelete
  4. Annon wa 8.21 apo juu, unamsikiliza pia Handel? wakati mwingine najiuliza ilikuwaje Ujerumani ikatoa vipaji vyote vya wakali wa classical, kina bethoven, mozart, J.S Bach, G F handel na wengineo...mi namzimikia sana Handel

    Michuzi June nitakuwa Bonn so nitajitahidi pianifike apo kwa L Von Beethoven...ila kama alivosema mdau apo juu, nina shaka kama huu mziki kwako unapanda?
    mdau, germany

    ReplyDelete
  5. haya classical junkies!
    Welcome to the club!
    Nyie Anonymous wawili hapo juu mnaweza kuwa mapacha wangu!
    Stay tuned for the DSM Symphony Orchestra!
    Ina-sound vipi hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...