Home
Unlabelled
makamu na madenti india
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama ndio Bangalori hapo...nasikia ndio kweli wameendelea na mambo ya kompyuta!!!Bili Getisi mwenyewe aliisifia hilo jiji la Bangaloru!!!
ReplyDeletewadau mlioleta hii picha, kuna kitu kinaitwa MEGAPIXEL on ur cameras...pliz use them maana tunaona watu widuchu
ReplyDeleteWewe mdau uliyezungumzia MEGAPIXEL naomba tueleweshe zaidi ili tupate picha nzuri na sisi
ReplyDeleteAsante sana ndugu yetu Adam Mzee kututumia picha hii. Haya na wewe mdau wa MEGAPIXEL naomba utume picha kwenye blog hii uliyopiga yenye umati wa watu kama hii picha. Wewe huoni kwenye hii picha hadi watu wengine wamekatwa, jamaa aliyesimama kulia amekatwa, na huyo aliyekaa kushoto pia kakatwa.
ReplyDeleteWatu wengine kujifanya wanataaluma!!!
Mdau
UK
Acha undindi wewe mdau wa UK....sizungumzii kukatwa kwa watu am talkin about the resolution on the picture.
ReplyDeleteIf they had taken this picture with higher PIXEL resolution, maybe 8 or more we would have seen the faces of those on the picture, but from what i can assume they must have used 1.3 MEGAPIXEL
Stop being critic with useless comments u sounded SILLY!!!
The point i wanted to put across was to advise the guys who took that picture so next time they get it right.
By the way look at the 3rd comment, there are people out there who always like to learn new things , am glad to be of help.Michuzi blog is not just for udaku, siasa and news sometimes its about learning and helping one another.
Thanks michuzi nawaona wabeba mabox wa india. Wape hi wote.
ReplyDeleteMbeba mabox mwenzenu
Mdau UK