makamu wa rais dk. ali mohamed shein leo ametembelea kusini mwa india katika jimbo la bangalore na kuongea na madenti wa kibongo huko. hapa makamu na ujumbe wake katika picha ya pamoja na wanafunzi hao kwa mujibu wa mpiga picha mashuhuri wa huko, adam mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kama ndio Bangalori hapo...nasikia ndio kweli wameendelea na mambo ya kompyuta!!!Bili Getisi mwenyewe aliisifia hilo jiji la Bangaloru!!!

    ReplyDelete
  2. wadau mlioleta hii picha, kuna kitu kinaitwa MEGAPIXEL on ur cameras...pliz use them maana tunaona watu widuchu

    ReplyDelete
  3. Wewe mdau uliyezungumzia MEGAPIXEL naomba tueleweshe zaidi ili tupate picha nzuri na sisi

    ReplyDelete
  4. Asante sana ndugu yetu Adam Mzee kututumia picha hii. Haya na wewe mdau wa MEGAPIXEL naomba utume picha kwenye blog hii uliyopiga yenye umati wa watu kama hii picha. Wewe huoni kwenye hii picha hadi watu wengine wamekatwa, jamaa aliyesimama kulia amekatwa, na huyo aliyekaa kushoto pia kakatwa.
    Watu wengine kujifanya wanataaluma!!!

    Mdau
    UK

    ReplyDelete
  5. Acha undindi wewe mdau wa UK....sizungumzii kukatwa kwa watu am talkin about the resolution on the picture.

    If they had taken this picture with higher PIXEL resolution, maybe 8 or more we would have seen the faces of those on the picture, but from what i can assume they must have used 1.3 MEGAPIXEL

    Stop being critic with useless comments u sounded SILLY!!!
    The point i wanted to put across was to advise the guys who took that picture so next time they get it right.

    By the way look at the 3rd comment, there are people out there who always like to learn new things , am glad to be of help.Michuzi blog is not just for udaku, siasa and news sometimes its about learning and helping one another.

    ReplyDelete
  6. Thanks michuzi nawaona wabeba mabox wa india. Wape hi wote.

    Mbeba mabox mwenzenu
    Mdau UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...